Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

Wakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.

Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.

Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.

So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.

Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.

Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.

Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 75,000 = 112,5000
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000

Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mwamba,

100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa makadilio ya vifaa hapo vingi ni zero kabisa nyumba kama hyo huwezi tumia mbao 18 cjui 40 eti misumali kilo 9 ya bati unamfaham ujenz wewe sio kwa nyumba acha kupotosha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,Mkuu ni wivu au una bifu nae?Hayo ni makadirio ya nyumba yake,sio yako..sit back n relax,utapata kisukari bure
 
Hongera sana mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza na ramani ya msingi (floor plan). Kama unamudu chora mwenyewe. Hii namaanisha unataka vyumba vingapi, ukubwa gani, milango, madirisha nk. Usihangaike sana na muundo wa paa. Fundi bora akiona jengo ataamua iweje.

Ukipata ugumu wa kuchora washirikishe mafundi ujenzi wa kawaida (anaweza kukuchorea bure au akakutoza gharama kidogo).

Hii ina maana utaweka mahitaji yako vema kwa kufahamu eneo linalohitajika. Mfano: chumba chako cha kulala, urefu wa kitanda sm. 190(180 godoro ongeza 30 za miguu). Fikiria kabati la nguo, meza ndogo, labda na kiti nk. Hapa utaepuka kujenga eneo lisilohitajika.

Nakuhimiza usiogope.

Ushauri:
Ni bora kujenga nyumba ndogo ukaikamilisha(ukaifikisha kiwango cha kuitumia) kuliko hekalu ambalo usishangae unaishia lenta au kuezeka lkn milango na madirisha ukayaona yako mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu ramani kuna app inaitwa PINTEREST una andika aina ya design unayotaka kisha unapata ramani yako.
Nyingine hua katika mfumo wa 3D kabisa.
 
Anza na ramani ya msingi (floor plan). Kama unamudu chora mwenyewe. Hii namaanisha unataka vyumba vingapi, ukubwa gani, milango, madirisha nk. Usihangaike sana na muundo wa paa. Fundi bora akiona jengo ataamua iweje.

Ukipata ugumu wa kuchora washirikishe mafundi ujenzi wa kawaida (anaweza kukuchorea bure au akakutoza gharama kidogo).

Hii ina maana utaweka mahitaji yako vema kwa kufahamu eneo linalohitajika. Mfano: chumba chako cha kulala, urefu wa kitanda sm. 190(180 godoro ongeza 30 za miguu). Fikiria kabati la nguo, meza ndogo, labda na kiti nk. Hapa utaepuka kujenga eneo lisilohitajika.

Nakuhimiza usiogope.

Ushauri:
Ni bora kujenga nyumba ndogo ukaikamilisha(ukaifikisha kiwango cha kuitumia) kuliko hekalu ambalo usishangae unaishia lenta au kuezeka lkn milango na madirisha ukayaona yako mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka hapo madirisha yako mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa makadilio ya vifaa hapo vingi ni zero kabisa nyumba kama hyo huwezi tumia mbao 18 cjui 40 eti misumali kilo 9 ya bati unamfaham ujenz wewe sio kwa nyumba acha kupotosha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Amejitahd sna. Amekuwa na nia na amethubutu. Tuone ww ya kwako ili tulinganishe na ya kwake mkuu
 
Back
Top Bottom