Yoranda
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 341
- 339
Huu Uzi ni bomba sana, kkn je ulibandua kimzaha hujabandua.Uzi kama huu ndiyo mzuri siyo zile za "Nani aliye bandua demu ki mzaha mzaha"[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Uzi ni bomba sana, kkn je ulibandua kimzaha hujabandua.Uzi kama huu ndiyo mzuri siyo zile za "Nani aliye bandua demu ki mzaha mzaha"[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazina dimensions ni plan tu ko ukiweka dimension uta miss some poit maana ziko scaled paleKuhusu ramani kuna app inaitwa PINTEREST una andika aina ya design unayotaka kisha unapata ramani yako.
Nyingine hua katika mfumo wa 3D kabisa.
Hakuna kitu simple mkuu,mil.7 sio pesa ya kitoto ni pesa ya mtu mwenye uhakika wa kula sio mbangaizajiDaaaaah kumbe Kuna vitu tunaona vigum kumbe simple ivyo hakika umenipa nguvu ya kujenga kibanda na me niwe father house 🏡
unatuogopesha mkuu...kwani mkanda unacost 10mBaada ya kuweka picha ndio nimegundua kwanini umetumia gharama nafuu kidogo kuna stage umeruka kama ya mkanda na vilevile eneo limekubeba maana ni kama pako flat
Kuumbuka kwa kipi hapo mkuu? huu ni ujenzi wa kimaskini wenye pesa hawafanyi hivi na ndio tunaowafanyia kazi.Hii nyumba haijajengwa kwenye plot iliyopimwa iko huko skwatani,ingekuwa ni plt angetafuta ramani na pesa tungekula ya ramani tu si chini ya laki moja ili ukapate kibali cha ujenzi,ko hapa hakuna tataizo maana hii ni project ya uswazi na ya mtu wa chini almaarufu mnyongeYaaan humu mafundi na landlord uchwara hawajapenda, full kuumbuliwa[emoji16]
Big up mleta Uzi[emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm hii covid imesababisha nisianze ujenzi kwa hofu na kutokujua hatima yaani ipishe mbali tufanye yetu daa hatari sanaasante sana kwa kunitia moyo, kitanzi kingine nilipoanza kuzitafuta ni CORONA, NIMEISHIWA POZI KWAKWELI
Ndio maana binafsi huwa sikubaliani na dhana ya eti nyumba ya kuanzia ,mimi napenda nitafute ramani simple ambayo nitakwenda nayo moja kwa moja sio unatumia pesa nyingi kwenye nyumba ambayo haikufurahishi nafsi kwamba utajenga ya kudumu,who knows ya kesho? Kwa mfano hapo hadi amalize finishing itafika around 10 mil.sasa hiyo pesa inatosha kujenga nyumba ya 3 bedrooms ambayo ni self yaani hizi za kisasa hadi kuezekaHongera kwa mipango na mikakati yako.
Naomba nikusifu kwenye uwezo wako wa kutunza kumbukumbu ya matumizi.
Nikirudi kwenye ujenzi:-
1. Kwa taratibu za ujenzi bado hujamaliza hivyo hiyo gharama ya milion 7 ni hatua tu ya hapo ujenzi ulipofikia.
Bado Unahitaji
1. Plastering 2. Ceiling finishing 3. Tiles 5. Painting 6. Madirisha
Sent using Jamii Forums mobile app
DRILL = GRILL
Kazi nzuri kaka, hongera kwa kuhamia kwako. Huu uzi utakuwa msaada sana kwa wengine
Mimi nina hiyo hela yako mara 4 lakini sijui nianzie wapi.
Siku hizi watu hamtaki ndugu na sijui kama una mke au watoto maana ni nyumba ya kibachela zaidi..il ni kazuriHii hapa ina
1.master bedroom
2.jiko
3.sitting room
4.mfumo kamili wa maji
5.mfumo wa umeme
6.plaster nje na ndani
7.gypsum
8.rough floor ya zege
ImeCost 7.5M
NB:.tiles na rangi vyote vimenunuliwa na fedha hyohyo, najikongoja nimlipe fundi afanye finishing. View attachment 1427385View attachment 1427386View attachment 1427387View attachment 1427388
Supu ya mawe
Na wanaomba wasilipe kodi kipindi hiki cha covid19.Safi sana. Watakuja wajinga watakwambia kujenga ni uoga na kufukia pesa wakati wana magari ya millioni 15 na kodi za 250,000 kwa mwezi.
Naomba ramani mkuu nikuigeWakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.
Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.
Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.
So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.
Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.
Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.
Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 7,500= 112,500
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000
Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kuogopeshana issue ujenge nyumba ya bei nafuu sawa ila na vigezo uzingatie sio ujenge bei nafuu halafu baada ya muda nyumba ianze kupasuka ni sawa na bure na bahati nzuri mie mwenyewe ni mkazi wa jirani ilipo hiyo nyumba ardhi yake naijuaunatuogopesha mkuu...kwani mkanda unacost 10m
Hapana ndugu,. Maji take bado nitatumia pipa hadi likijaa nitakuwa nishapata nguvu ya kujenga Karo.Haka nimekapenda... Dimensions zake zikoje mzee.
Hiyo 7.5 ni jumlisha na mashimo ya maji taka?
Hapo maneno yoote ya kashfa...ukute umepanga chamazi.....watanzania mna dharau Sana huku msijue ela inatafutwa vpKuumbuka kwa kipi hapo mkuu? huu ni ujenzi wa kimaskini wenye pesa hawafanyi hivi na ndio tunaowafanyia kazi.Hii nyumba haijajengwa kwenye plot iliyopimwa iko huko skwatani,ingekuwa ni plt angetafuta ramani na pesa tungekula ya ramani tu si chini ya laki moja ili ukapate kibali cha ujenzi,ko hapa hakuna tataizo maana hii ni project ya uswazi na ya mtu wa chini almaarufu mnyonge
😂 😂 😂 😂 Kashfa gani hapo,huo ni ukweli.Wewe ulikuwa unatushushua mafundi ndio nikawa nakupa shule na muongozo,mimi niko mkoani na nimepanga ndio lakini siwezi jenga hivyoHapo maneno yoote ya kashfa...ukute umepanga chamazi.....watanzania mna dharau Sana huku msijue ela inatafutwa vp
Kageto keko kazuri mkuu[emoji122]Hii hapa ina
1.master bedroom
2.jiko
3.sitting room
4.mfumo kamili wa maji
5.mfumo wa umeme
6.plaster nje na ndani
7.gypsum
8.rough floor ya zege
ImeCost 7.5M
NB:.tiles na rangi vyote vimenunuliwa na fedha hyohyo, najikongoja nimlipe fundi afanye finishing. View attachment 1427385View attachment 1427386View attachment 1427387View attachment 1427388
Supu ya mawe
Sawa mkuu nimekuelewaKuumbuka kwa kipi hapo mkuu? huu ni ujenzi wa kimaskini wenye pesa hawafanyi hivi na ndio tunaowafanyia kazi.Hii nyumba haijajengwa kwenye plot iliyopimwa iko huko skwatani,ingekuwa ni plt angetafuta ramani na pesa tungekula ya ramani tu si chini ya laki moja ili ukapate kibali cha ujenzi,ko hapa hakuna tataizo maana hii ni project ya uswazi na ya mtu wa chini almaarufu mnyonge