Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,433
- 21,448
ASANTE SANA NA AMINAA!Tumaini lipo, uwe na imani. aliyekuweka hai atafanya mito jangwani
Anaesema pagare usikute anakaa kaa shemeji yake.kila kitu anapewa mpaka data za kuja kukatisja watu tamaa humu.
Polee sna mkuu..
Kwa hiyo we unapenda za hapa kwa hapa,fupi fupi...Mi pia sipendi paa ndefu kama inataka kupaa lo
Ww hata corona ikiisha bado utaandika
Hii hapa inaHongera kwa mipango na mikakati yako.
Naomba nikusifu kwenye uwezo wako wa kutunza kumbukumbu ya matumizi.
Nikirudi kwenye ujenzi:-
1. Kwa taratibu za ujenzi bado hujamaliza hivyo hiyo gharama ya milion 7 ni hatua tu ya hapo ujenzi ulipofikia.
Bado Unahitaji
1. Plastering 2. Ceiling finishing 3. Tiles 5. Painting 6. Madirisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula tunda kimasihar ina raha yake... Its something u take the grave... Nyumba utaicha tuu.Uzi kama huu ndiyo mzuri siyo zile za "Nani aliye bandua demu ki mzaha mzaha"[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haka nimekapenda... Dimensions zake zikoje mzee.Hii hapa ina
1.master bedroom
2.jiko
3.sitting room
4.mfumo kamili wa maji
5.mfumo wa umeme
6.plaster nje na ndani
7.gypsum
8.rough floor ya zege
ImeCost 7.5M
NB:.tiles na rangi vyote vimenunuliwa na fedha hyohyo, najikongoja nimlipe fundi afanye finishing. View attachment 1427385View attachment 1427386View attachment 1427387View attachment 1427388
Supu ya mawe
Kwa hiyo we unapenda za hapa kwa hapa,fupi fupi...
Iko vizuri kwa matumizi ya vijana na kwa kuanzia au kujifunzia ujenzi huku ukiendelea ku andaa nyumba ya ndoto. Tuone floor plan kiongozi.Hii hapa ina
1.master bedroom
2.jiko
3.sitting room
4.mfumo kamili wa maji
5.mfumo wa umeme
6.plaster nje na ndani
7.gypsum
8.rough floor ya zege
ImeCost 7.5M
NB:.tiles na rangi vyote vimenunuliwa na fedha hyohyo, najikongoja nimlipe fundi afanye finishing. View attachment 1427385View attachment 1427386View attachment 1427387View attachment 1427388
Supu ya mawe
Safi sana japo ramani yako haijanivutia
Mi napenda nyumba iwe na veranda unaweka kochi na kimeza
Hongera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani unajenga nyumba yako ya kuishi kwa bati geji32 na kechi la mbao ambazo siyo treated alafu unajisifu, my friend your finished, tegemea majanga baada ya miezi14