Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

KIUFUPI HILI NI BANDA (samahani lakini ndo ukweli, umejenga banda la kulala)
Kwa Pesa hiyo ni sahihi kabisa ujenzi Wa banda kama hili;
Kwanza hata milioni 6 ingetosha!
Aisee , kwa hiyo comment hii inatusaidiaje sisi tusiokuwa na uwezo hata wa kujenga jengo kama hili mkuu? tuendelee kukaa kwenye nyumba za kupanga?
 
Mbona hakuna msingi na hayo ni matope

Sent using Jamii Forums mobile app

We wazazi wako n wenyeji wa mkoan gani kwa mfano?

Hzo nyumba za namna hyo zinaishi miaka zaidi ya 35 bila kuanza purukashani za kurepea hvyo ukitumia technology ya Leo Kama hyo picha n matumain hyo nyumba itadumu 50+ years.

Ishi kwa wakati sahihi Mana hata ukienda California au Texas kukuta nyumba yenye gharama sawiha na pesa za kitanzania kwa Hali yaaisha ya Kule n hakuna huku n ghali Sana .

Paa ndefu zile n wanazojenga bongo kama sifa ya kuwa na hela za bati na mbao Kule Canada na Europe & Russia n kwaajili ya kushusha barafu kwa uharaka kipindi Imekaa kwenye paa.

Hvyo paa refu n hatari kwa kimbunga.

Pia ukitaka kuona msingi Chukua Ile picha ya juu kwenye hyo nyumba ya miti na uchimbe utaona msingi
 
Mi pia sipendi paa ndefu kama inataka kupaa lo
 
Ndo ukakae humu Sasa maisha yaendelee

IMG_20200421_223814_007.jpg
IMG_20200421_224018_657.jpg
 
Back
Top Bottom