Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

Ah ah wazungu wanan
😂 😂 😂 😂 Kashfa gani hapo,huo ni ukweli.Wewe ulikuwa unatushushua mafundi ndio nikawa nakupa shule na muongozo,mimi niko mkoani na nimepanga ndio lakini siwezi jenga hivyo
wananeno put the money where your mouth is.....uta,una....kila mtu anandoto....ila kunawachache Sana wanaziishi ndoto zao.......usisingizie sijui Corona sijui Nini kaa chini jenga yako anzisha thread nitag nije sifia nyumba yako ya kishua.........ukiwa na kwako ndo utagundua jamaa katoa kitu kikali na kascrifice mengi Sana hapo.....na uzuri hata akijenga dream House hiyo nyumba hakosi laki 2 kodi
 
hakuna kuogopeshana issue ujenge nyumba ya bei nafuu sawa ila na vigezo uzingatie sio ujenge bei nafuu halafu baada ya muda nyumba ianze kupasuka ni sawa na bure na bahati nzuri mie mwenyewe ni mkazi wa jirani ilipo hiyo nyumba ardhi yake naijua
Hee mkuu unapajua kwenye hilo geto la mleta uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio, kwa mfano gauge 26 ni bora kuliko gauge 28. Hapo gauge 26 ni ngumu na imara sababu ina unene ( thickness) mkubwa.
Gauge 26 inauzwa bei kubwa kuliko ile ya 28.
Jinsi namba ya geji inavyokuwa kubwa ndiyo bati linakuwa jembamba sana na rahisi kulikunja, na hata kutoboa haliwi gumu.
Geji 32 hazidumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ubarikiwe
Umetuelimisha wengi

Geji za bati unahesabu vipi ?
 
Hongera huo ndio uanaume, picha tafadhali!!!!. Nimepata kawivu ka maendeleo. Nilikuwa na pesa kama hiyo ila imepukutika kwa kujihudumia nilipokuwa naumwa, nimeudhika sana, kuanza moja kuitafuta tena ni neema za kiMungu sasa!. Hongera sana kwa mara nyingine.
umejitibu kwa milioni 9
 
Ah ah wazungu wanan
wananeno put the money where your mouth is.....uta,una....kila mtu anandoto....ila kunawachache Sana wanaziishi ndoto zao.......usisingizie sijui Corona sijui Nini kaa chini jenga yako anzisha thread nitag nije sifia nyumba yako ya kishua.........ukiwa na kwako ndo utagundua jamaa katoa kitu kikali na kascrifice mengi Sana hapo.....na uzuri hata akijenga dream House hiyo nyumba hakosi laki 2 kodi
Kila kitu mipango hatufanyi kwa mihemko au kufurahisha mtu..wakati ukifika utaona kama kwako corona haijakuathiri go on
 
hongera mkuu ila kwenye picha hapo nimeona NDOO ndogo nyeupe mbona hatuoni ukiiorodhesha nayo ni sh.ngap
 
DRILL = GRILL
Kazi nzuri kaka, hongera kwa kuhamia kwako. Huu uzi utakuwa msaada sana kwa wengine

Mimi nina hiyo hela yako mara 4 lakini sijui nianzie wapi.
Ukishindwa kujenga tafuta nyumba za kununua, kuna watu wana shida zao, wanauza nyumba zao. Kila kona ya jiji la Dar, na pwani.
Kuanzia M20 unapata nyumba mzuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kashfa gani hapo,huo ni ukweli.Wewe ulikuwa unatushushua mafundi ndio nikawa nakupa shule na muongozo,mimi niko mkoani na nimepanga ndio lakini siwezi jenga hivyo
Acha dharau weka ya kwako hapa tuone!
 
Back
Top Bottom