Nimeikuta sehemu

Nimeikuta sehemu

Mkifikia hapo; jua hakuna ndoa; mnasogeza tu siku.
Ukifika hatua you are not bothered na chochote anachokifanya mwenzio; automatically moyo umeshaingia baridi, hakuna upendo tena; ni watu wawili wanaoishi pamoja. Cha kusikitisha zaidi ni pale unapoogopa kushika simu ya mwenzio eti kwa sababu unajua utakachokutana nacho kitakuumiza. Inasikitisha sana
You have a point lakini kwa upande wangu ngoja niweke hivi... Sometimes in life, somethings matters and some doesn't, have decided to trust him na sitaki kumtilia mashaka ya namna yoyote

15yrs of marriage bado naanza kumtilia mtu mashaka na kukagua simu yake,naona kama hiyo stage imenipita, all that matters is we are happy,we have a happy family na tunasongesha gurudumu letu
 
Tulikuwa tunajadiliana tu my dear; to each his own sweetheart as long as kinakupa amani na maisha yanasonga. Mimi simtilii mtu mashaka; but I watch over his steps na imetusaidia sana cos kuna muda namshtua mapema kwamba huyu Mtu bana sio mwema (hapa simaanishi michepuko; kuna friends au hata ndugu ambao usipokuwa makini, utakuta mwenzio ameshatumbukia shimoni). Mtu yeyote ndani ya nyumba yangu; huwa namfuatilia nyendo zake; atake asitake

Watch out mwenzako anaongea nini na anaongea na kina nani; know exactly what they feed his mind. Mfano siku hizi kuna makanisa na Watumishi ambao usiposhtuka mapema; utakuja kushtuka ndoa inavunjika kisa Mtumishi fulani. Mimi ni mlinzi; nalinda kiroho na kimwili; mengine atajuana na Mungu wake; but I played my part.
 
Upo sahihi kabisa, dunia imevurugika

Halafu umenikumbudha, kuna hawa wanaoitwa friends kwa kweli mimi sitakagi ujamaa nao, the are not good people, especially friends wa jinsia tofauti
 
Nimechekaaa. Male/female besties
Unakuta rafiki sijui classmate ametuma msg "Hi Luv, familia haijambo?" Mi nikajibu mxeeeew, tangia hiyo siku sijaonaga tena huyo classmate akitext wala akipiga, tukakutanaga nae kwenye harusi ya classmate mwenzao akakimbia maana alivyoniangalia tu alikosa confidence

Sema it was long ago, almost 10 yrs back lol🤣🤣 enzi hizo mimi mgomvi nikikuta tu text ntahakikisha alietuma ananijua na kunitambua vizuri

Sema nimekua mie lol
 
Kama unamiliki shamba
Likiwa na miembe,minazi mikorosho yote si ni ya kwako?Mwanamke wangu
Mke wangu, mke wangu zingatia hilo na vyote anavyo miliki ni vyangu pia
Sasa kuna uprivate gani wa msingi sana zaidi ya kukaa uchi pamoja
Simu ikawe na vya muhimu zaidi ambavyo havitakiwi kuonekana na mimi
Umeshawahi kuwa unataka simu ya mwenzio kwaajili ya ku note namba au kupiga labda salio huna au torch na anakukazia kwa sababu tu anaona utamchunguza na wakati huo jambo ulotaka kufanya lina umuhimu sana kwa wakati huo
 
Sasa kama uchi wake una access nao simu ni nini hata nisikague.

Simu nina kagua na nikikuta kitu hakieleweki namuuliza.

Ambao wanaogopa kukagua simu za wapenzi wao, ao ni wale ambao hawawezi kuchukua maamuzi akikuta kitu cha ajabu, kama kuachana na huyo mwanamke anaechepuka nk.
 
Unakuta rafiki sijui classmate ametuma msg "Hi Luv, familia haijambo?" Mi nikajibu mxeeeew, tangia hiyo siku sijaonaga tena huyo classmate akitext wala akipiga, tukakutanaga nae kwenye harusi ya classmate mwenzao akakimbia maana alivyoniangalia tu alikosa confidence

Sema it was long ago, almost 10 yrs back lol🤣🤣 enzi hizo mimi mgomvi nikikuta tu text ntahakikisha alietuma ananijua na kunitambua vizuri

Sema nimekua mie lol
Haki umejua kunichekesha; eti mxeeeew🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom