Nimeikuta sehemu

Nimeikuta sehemu

Hii nzuri, kuna kauli ya kaka Mshana Jr aliwahi isema nanukuu, "usiyatafute matatizo acha yaje yenyewe". Nilimuelewa sana.

Kuanza kupekuana ni kuyatafuta matatizo kwa lazima.
Kabisa, wakati mwingine ni vyema kumuamini mtu moja kwa moja as long anakuheshimu na kutimiza wajibu wake, hayo mengine ni ya kwake mradi tu siyajui na wala sitaki kuyajua
 
Kabisa, wakati mwingine ni vyema kumuamini mtu moja kwa moja as long anakuheshimu na kutimiza wajibu wake, hayo mengine ni ya kwake mradi tu siyajui na wala sitaki kuyajua
Hakika umesema vyema kabisa mkuu. Ni rahisi kujenga uaminifu kwa mtu ambae haukuwahi kumuamini kabisa lakini sio kwa mtu ambae ulimuamini na kuuvunja uaminifu.
 
Mambo ya kazini akiona kuna tatizo gani?
Na muamala ina tatizo gani?
Najaribu kumweka mbali na mazingira yangu ya kazi na hata binafsi sipendi kua karibu na mambo yake ya kazini

Mi ni mtu ambae sipendi mtu naedate nae ajue financial status yangu, iwe nina hela sina hela sipendi mtu yeyote ajue
 
Hakika umesema vyema kabisa mkuu. Ni rahisi kujenga uaminifu kwa mtu ambae haukuwahi kumuamini kabisa lakini sio kwa mtu ambae ulimuamini na kuuvunja uaminifu.
Trust is earned oooh.

Mfano tu unakuwa na mtu ambaye muda wote akiwa na wewe simu inawekwa "flight mode". Kuna watu wanaficha simu hadi muda wa kuoga anaingia nayo bafuni; bado hutoiba simu yake ujue yaliyomo? Halafu mtu akiwa huru na simu yake kwako; unajikuta unaiona tu ya kawaida, wala hutohangaika nayo unnecessarily. Mtu anakwambia kabisa, naweka hii password kwa sababu sitaki mke wangu aguse simu yangu; does it make sense?
 
Ukiona hivyo ndio kabisaa usihangaike na hiyo simu maana utatangulia ahera kabla ya siku zako
 
Ukiona hivyo ndio kabisaa usihangaike na hiyo simu maana utatangulia ahera kabla ya siku zako
Mkifikia hapo; jua hakuna ndoa; mnasogeza tu siku.
Ukifika hatua you are not bothered na chochote anachokifanya mwenzio; automatically moyo umeshaingia baridi, hakuna upendo tena; ni watu wawili wanaoishi pamoja. Cha kusikitisha zaidi ni pale unapoogopa kushika simu ya mwenzio eti kwa sababu unajua utakachokutana nacho kitakuumiza. Inasikitisha sana
 
Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
If you keep money, secret details and other useful information for the family then yes, but if not don't share, women are too selfish to trust them, but when it comes to children and their future you have to find an acceptable balance.
 
Back
Top Bottom