Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Hapo ukishampata mwizi wako na wewe unamtoa hela tu afidie gharama zako
 
Enzi zako ulisumbua wewe! Unakumbuka ulivyomuacha jamaa ubungo
Kituo nilichoenda kwa kweli ni kidogo
Wakaniunganisha na mtu ambae nimeona kama nitapoteza pesa
Leo ndo nataka nikachek changombe hapo
 
Nimeibiwa simu mbili mwaka huu huu na hadi leo sijazipata na police nilireport wakasema wanafuatilia, nimeulizia hadi nimechoka. Hii nchi ni ngumu sana
Polisi na wezi ni kitu kimoja hapa Tanzania๐Ÿ‘ฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ