DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,699
- 81,712
Afate huu ushauri.Jamaa hao Watakutafuta ikiwa wana maslahi na ww au aliyewatuma.
Watakula hiyo hela.. na mara nyingi ni kama umewapa DILI.. wanamtafuta mwizi wanakula kwake na kwako kimya kimya..
Kweli ukichaa umeanzaMwnyw hapa Nimelia sana 😭
Na ujanja wako wote hujaipata, mi nilikuwa naamka usiku naomba, ndo niligundua kumbe ninae roho mtakatifu niliipata namshukuru mtu mmoja yupo humu ila si mpenda mauzo ningemtag, alinisaidia mno, ilitumika kama laki 3+ ilisitahili hiyo gharama sababu simu nayo ilikuwa na thamani ya mara kumi yake wakati huo imetoka, kwahiyo kwa namna yoyote ile ningeitafuta tu,Pole sana rafiki yangu hii kitu ilinikuta na Mimi pale kariakoo nilikaa kwanza chini baadae nikaendelea kulia simu imekaa wiki tu wahuni wakasepa nayo sikufanikiwa kuipata hadi Leo hii
Hapendi mauzo ila atasoma huu uzi roho mtakatifu amshukie, ila kuliko kutumia laki 2 kuitafuta bora ununue nyingine walau ya laki 3, ama labda kuwe na nyaraka muhimu kwenye hiyo simuPlz niconect plz
Maana nahisi moyo unauma sana
Nilikata tamaa mwezi mzima sikufanikiwa kuipataNa ujanja wako wote hujaipata, mi nilikuwa naamka usiku naomba, ndo niligundua kumbe ninae roho mtakatifu niliipata namshukuru mtu mmoja yupo humu ila si mpenda mauzo ningemtag, alinisaidia mno, ilitumika kama laki 3+ ilisitahili hiyo gharama sababu simu nayo ilikuwa na thamani ya mara kumi yake wakati huo imetoka, kwahiyo kwa namna yoyote ile ningeitafuta tu,
Invest ....Risk on what you can afford to lose.
Aisee pole tena, inauma mno mno mno mnooo,Nilikata tamaa mwezi mzima sikufanikiwa kuipata
Wengi ya wanao kuambia achana nayo huenda ni wezi wenyewe wanaogopa utawakamata, Mimi mwaka Jana niliibiwa simu nikaenda kuriporti ,ikafanyiwa tracking,cha kushamgaza mwizi wangu alikuwa ni jirani yangu mwana mama,
Kama una IMEI ifuatilie utaipata.
Ushauri : jaribu kuwasiliana na polisi wa mbali na eneo ilipoibiwa simu ili kuepuka polisi kumkata mwizi wako na baadae wakamalizana kishua na wewe usipate simu yako,kama uko wilaya X wasiliana na polisi wa wilaya Y,utaipata simu bila shida,kikubwa hatua ya kwanza kariporti upate RB kwa kituo cha polisi karibu na wewe,usiwape details za simu
Kivipi apa mkuuusiwape details za simu
Ushauri mwananaRisk on what you can afford to lose.
Enzi zako ulisumbua wewe! Unakumbuka ulivyomuacha jamaa ubungoHata kula sijala leo
Asiwape polisi wa kituo ambacho anaenda kuriporti/ kuchukua RB kuwa kaibiwa,bali ampe taarifa za simu polisi wa kituo cha mbali na anapoishi ili kumuwezesha kuifanyia trackingKivipi apa mkuu
Hapana ila kila mtu ana matatizo ya akili 😎Kweli ukichaa umeanza
Watakulia pesa, hio pesa nenda kale kiepeNimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Inategemea aina ya hiyo simu,pia kama ulihifadhi namba ya imeiNimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Polisi wetu hawa sio waadilifu nao wezi tuu maana ukiwapa hiyo mishe umesha wapa mchongo watapiga hela kwako na huo upande wa pili, na wewe simu huipati kuliamini jeshi la polisi ni sawa na kumuamini shetaniNimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
unataka kusemaje?Invest ....
Pamoja mkuuUshauri mwanana
Please naomba uongeee nae mwambie mimi ndugu yako🥹🥹🥹Aisee pole tena, inauma mno mno mno mnooo,