Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Labda alinunua simu ya wizi lakini mwizi husika aliyeiba hawezi kukupa hiyo gharama na faida juu,
Yoyote atalipa Mkuu....!! Yatauzwa Mashamba watauzwa mifugo watalipa Mkuu.....!

Hapo ukishampata mwizi wako na wewe unamtoa hela tu afidie gharama zako
Unaanza kutengeneza mpango wa Hela Toka Maelezo Yako ya kwanza Police ... Gharama zitarudi.
 
Polisi watakula pesa yako wataitrack simu watamkamata huyo mwizi au aliyeuziwa watakula hela yake watamwachia simu wataichukua polisi na hawatakupa wanaiuza wanapata pesa.
Hao ndio Polisi wa Tanzania
 
Ahaa..maybe
 
Mwanaume linda sana simu yako kama unavyolinda dushe na "jicho" lako.
 
Polisi watakula pesa yako wataitrack simu watamkamata huyo mwizi au aliyeuziwa watakula hela yake watamwachia simu wataichukua polisi na hawatakupa wanaiuza wanapata pesa.
Hao ndio Polisi wa Tanzania
Hii ni 100%โœ…๏ธ
ILINITOKEA
 
Yoyote atalipa Mkuu....!! Yatauzwa Mashamba watauzwa mifugo watalipa Mkuu.....!

Unaanza kutengeneza mpango wa Hela Toka Maelezo Yako ya kwanza Police ... Gharama zitarudi.
Yani kuna watu wana maisha magumu ukoo mzima
 
Please naomba uongeee nae mwambie mimi ndugu yako๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†atakuwa kakusoma, kuna mazingira aliyeipata simu alitaka kuendelea kupewa pesa kila akienda bar ni kupigiwa simu nitume hela, hata usiku wa manane atapiga kwa fujo, mara kutongozana tena,, ikawa kero kiukweli nilimblock na kufuta namba zake,
 
Polis unapoteza muda wako. Huwa hawana msaada kabisa zaidi ya kula hela yako. Hata uwape imei No.
 
Wewe kaa chini piga hesabu muda utakaopoteza kufuatilia simu na uhakika wa kuipata na muda huo ulopoteza ukifanya shughuli zako utapata kiasi gani cha fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ