Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

hahahaha...ulikuwa hujui na hujui kama hujui,naomba leo ujue kilicho bora kuwa,dirishani hata kama utakuwa kwenye usafiri wako watakukwapua ulichonacho

wee nikiwa kwenye bajaji yangu baada ya kufunga mkanda (seat belt) nafunga mlango naweka lock za milango yote na kupandisha vioo juu full ac sio kukwepa vumbi na joto la dar hapana kuepa vibaka labda watoboe kioo. Asante kwa taarifa lakini.
 
we badala ya kumpa pole mwenzio unamzidishia machungu hahahaaa, mie najiuliza tu nokia n7 sijui ina redio kumbe kama vitochi nilikuwa sijui.

Nakwambia anatuzuga hapa mie nimesuighudia issue nzima live na macho yangu bila hata mawani.
Eti anadai baada ya kufanyiwa mchezo mzuri haraka alipita dirishani kumfata mwizi na wale vijana wa ziada,walipoona ameshuka haraka etinao wakashuka kumsaidia wakamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.

Hakuna kitu hapo. Hizi zote fix. Vijana wote wakashindwa kumnyaka mwizi?

Well, nisapotezee uhondo baada ya mwizi kumfanyia mchezo movie nzima ilikuwa hivi. Mwizi alachwa na kuondoka na simu yake kiulainiiiii

652766478.jpg
 
hahahaha EMT unanivunja mbavu zangu bwana tehtehtehteh.......ujue nitaku-ofoo saro!
Nakwambia anatuzuga hapa mie nimesuighudia issue nzima live na macho yangu bila hata mawani.
Eti anadai baada ya kufanyiwa mchezo mzuri haraka alipita dirishani kumfata mwizi na wale vijana wa ziada,walipoona ameshuka haraka etinao wakashuka kumsaidia wakamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.

Hakuna kitu hapo. Hizi zote fix. Vijana wote wakashindwa kumnyaka mwizi?

Well, nisapotezee uhondo baada ya mwizi kumfanyia mchezo movie nzima ilikuwa hivi.

652766478.jpg
 
Last edited by a moderator:
halafu ujue nilikwa najiuliza nimekufananisha na nani hasa hizo nywele kumbe ni kipepe hahahaaaaa
from now on ntakuwa nakuita kipepe badala ya EMT
Nakwambia anatuzuga hapa mie nimesuighudia issue nzima live na macho yangu bila hata mawani.
Eti anadai baada ya kufanyiwa mchezo mzuri haraka alipita dirishani kumfata mwizi na wale vijana wa ziada,walipoona ameshuka haraka etinao wakashuka kumsaidia wakamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.

Hakuna kitu hapo. Hizi zote fix. Vijana wote wakashindwa kumnyaka mwizi?

Well, nisapotezee uhondo baada ya mwizi kumfanyia mchezo movie nzima ilikuwa hivi. Mwizi alachwa na kuondoka na simu yake kiulainiiiii

652766478.jpg
 
Pole ,, lakini nadhani huyo mwizi kakusaidia ku i recycle hiyo simu kwani ni ya siku nyingi sana sasa

Sidhani kama ingekuwa Iphone 5 ile mpya angekuibia kwa sababu ikiibiwa huwa inapiga keleleza mwizii! mwizii!
 
mmmmm!,,haya mabo tena
Pole ,, lakini nadhani huyo mwizi kakusaidia ku i recycle hiyo simu kwani ni ya siku nyingi sana sasa

Sidhani kama ingekuwa Iphone 5 ile mpya angekuibia kwa sababu ikiibiwa huwa inapiga keleleza mwizii! mwizii!
 
Aaaaaaaaaa wapi!!!! Mie mtoto wa bush kama Madenge. Ukileta za kuleta nakugeuzia kibao hivi hivi mpaka utaomba msaada kwa yule mwizi.

915694498.jpg
toba!.........inataka aje anikwapue kichwa tena?
 
Hee mara hii umegeuka mzee mayuku? looh haya unataka kumfoo usaro linda mkeo? mmmhhh vibaya hivyo kipepe bana.
Ila tafadhali usinianzishie yale mambo yako tafadhali nimekosa ntakuita tu kipepe sitakutania tafadhali.

Na wewe naona unanizogoa. Sijui nilianzishe kwako?

331611377.jpg
 
View attachment 117202
Ilikuwa hivi;
Ilikuwa leo majira ya saa moja na nusu jioni,Nimetoka kwenye mihangaiko nimefika Ubungo ili nipande Daladala nyingine kuelekea Nyumbani,Daladala niliyopanda nikafanikiwa kupata siti ya dirishani ili nipunge upepo.

Tukiwa bado tuko kwenye mataa ninauchovu wa mwili na roho,ikanibidi nitoe simu yangu aina ya Nokia N97,nikaweka Headphone ili nisikilize radio kujua yaliyojiri duniani.Nikiwa bado natafuta masafa ya Radio,ghafla nikaona bonge la mkono kutokea nje likamata simu yangu na mtu kukimbia nayo.Nikajua tayari nimesha fanyiwa kamchezo si kazuri,haraka sana nikapita dilishani kumfata mwizi,nyuma ya daladala niliyokuwa nimepanda kulikuwa na gari kubwa la mizigo ambapo kwenye gari lile kulikuwa na vijana wa ziada,walipoona nimeshuka haraka nao wakashuka kunisaidia tukamfukuzia mwizi umbali kazaa lakini hatukufanikiwa.

Maskini simu yangu NOKIA N97,ikawa imeniacha kimwili.

Wana JF nawaombeni mchukue tahadhari msije mkajikuta mmeingia kwenye hii janga kama lilonikuta leo.

RIP SIMU YANGU

umekuja lini dsm? nimeamini unaweza kumtoa mhaya shamba lakini huwezi kumtoa ushamba kichwani mwake, huu wizi wa kizamani kila mtu anaujua ndio unatoka bukoba kuja kutusimulia masimela, aibu sana.
 
Back
Top Bottom