Ubahili huo kama hajatumia yeye azitumie nani pesa zakoLeo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Sijui huyu wa mikoani ama wa dar. yaani ametuabisha wanaumeUnatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
Umenipa raha sana kwa hii komenti yakosiku ukihonga Laki1 si ndio utakodisha gari la matangazo upige Haraambee..
Sasa uluchokiogopa hapo ni kipi,labda kalimuweka mdogo wake.Umenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nime cheka sana.Umenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
ungemwambia huna siku ingineLeo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Kwa hiyo na wewe ulivyo mjinga ukaenda? siku nyingine ukiona anaingia dukani we zuga unataka muona mtu akimaliza atakukuta shem fulani!! otherwise utaendelea kulia lia tuLeo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Mbavu zangu mie.Atakodisha na wavaa madera ili wanogeshe matangazo[emoji12]siku ukihonga Laki1 si ndio utakodisha gari la matangazo upige Haraambee..
Sasa siumwambieLeo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Mungu aninyime mwanaume kama huyu ,[emoji2] [emoji2] [emoji2] thx u made my day lol
Mbavu zangu mie.Atakodisha na wavaa madera ili wanogeshe matangazo[emoji12]
We mdada tuhurumie huku twafaaaaa si kwa vicheko ivo loh!!!Mungu aninyime mwanaume kama huyu ,
Unajikuta unakatiza kupanda mwendo kasi
mara paap, unamuona bwana ako kashika kipaza anapiga harambee mpaka acc zako za snapchat anazitaja[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo utajua kwanini hukutongozwa madale
Sasa mke mtarajiwa roho imekuuma je ingekuwa mtu bakiLeo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.
Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Tehteh....ndo maana umetajwa kwenye listi ileeeeeeeee! !!Subiri pesa ikiwa laini ndo utafute papuchi mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tehteh....ndo maana umetajwa kwenye listi ileeeeeeeee! !!