Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
- Thread starter
- #41
Nimegundua dem mtamu ukiwa unamuibaiba kwao.
nimegundua zamani ukitaka kuona makalio ya mwanamke ni lazima afunue chupi yake lakini siku hizi anafunua makalio ndio uone chupi
Nimegundua watoto wote wanajua ukiwa mkubwa lazima utakuwa na pesa
Ndo maana mi cpendi kugundua kama ugunduzi wenyewe wa kibongo ndo wa style hii
Nimegundua hakuna shujaa alie hai ndio maana siku ya mashujaa huwa tunaoneshwa makaburi!
Nimegundua mtu akikata gogo(ak***ny) polini lazima ageuke kuangalia mzigo wake alioshusha.
E bwana eeeh, we kweli umegundua.
Nakupa High 5!