Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Achana naye haraka sana, piga chini huyo ni shetani. Angalia mwanao tu. Wasichana mbona wapo wengi tu hawajaolewa na wanatafuta wanaume. Jipe muda Mungu atakuonesha mke mwingine, ila kwa huyo alishakubuhu kwa uchangudoa.
 
kwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
Serious!!???.
Acha utani bhana sio rahisi kama unavyofikiri
 
kwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
Weee!!ujajua uchungu wa kuliwa mke sikia tu,nipo tayari nidhulumiwe pesa ila si papuchi,pesa kitu gani uoni jamaa alivyo andika hapo anasema ;lakini bado nampenda;usicheze na hii makitu,papuchi noumaa!
 
Inamaana wife anasema hawez kuiacha hyo 180,000 wakati wewe unakazi na yeye anamirad yake ? MUNGU akusaidie katika kufanya maamuzi yako
 
Abaki tu kuwa mzazi mwenzio maana hautaweza kuishi naye tena ukawa na amani naye..kwani huu ndio.. MTIKISIKO WA MAWAZO wenyewe..
 
DNA inakuhusu,Hawezi kuacha hiyo tabia hata siku moja.Labda aache hiyo kazi.Na atakua anafanya kwa kujiamini hasa kwa vile utajidanganya ameacha.Akikubali kuacha kazi hiyo mrudie hakukubali achana nae
 
Mkeo ameshakubuhu atakuumiza kichwa..
Kwanza anakudharau ,
Pili kuna nguvu ya kiburi na isiyo na maonyo toka nje kwa shangazi yake..

Hata ukimsamehe utajisumbua tu hawezi kuacha na ataweza kuja kukutamkia mazito..

Kuwa makini na familia za upande mmoja hasa Wa kike tu
 
Midume 25 kwa mwezi. Alianza kabla hujamuoa na ameendelea baada ya kumuoa. Hapa hakuna mke Muinjilist Luka. Mwache abebe vyake na asepe.
 
Achana naye haraka sana, piga chini huyo ni shetani. Angalia mwanao tu. Wasichana mbona wapo wengi tu hawajaolewa na wanatafuta wanaume. Jipe muda Mungu atakuonesha mke mwingine, ila kwa huyo alishakubuhu kwa uchangudoa.
Assume ni ukweli hiyo stori; ni vigumu kweli maana alishakaa naye kwa muda mrefu na wanawake wa hivyo i bet wanajua kuhandle mwanaume usiombe. Wanajituma (ili kuficha madhambi yao) kisawa sawa, utakuta akirudi home analeta zawadi, anamnunulia mume nguo na pengine madiko yote ni gharama kwake. Mwanamke wa hivyo hata hela anakuachia kitandani za matumizi. Sasa uanze kutegemewa kama ATM ni ngumu kidogo!!! Hilo ni kaa la moto akimeza anaungua akitema anatema utamu. Naunga mkono wazo la miss chagga
 
Kama unataka litonga we komaa ule makombo ya wazungu hapo inaonekana hata marinda washanyofoa sio mke huyo kaka chukua time
 
Assume ni ukweli hiyo stori; ni vigumu kweli maana alishakaa naye kwa muda mrefu na wanawake wa hivyo i bet wanajua kuhandle mwanaume usiombe. Wanajituma (ili kuficha madhambi yao) kisawa sawa, utakuta akirudi home analeta zawadi, anamnunulia mume nguo na pengine madiko yote ni gharama kwake. Mwanamke wa hivyo hata hela anakuachia kitandani za matumizi. Sasa uanze kutegemewa kama ATM ni ngumu kidogo!!! Hilo ni kaa la moto akimeza anaungua akitema anatema utamu. Naunga mkono wazo la miss chagga
Shida za kwenu anazihandle wakati mwingine bila wewe kujua, na mama ni kipenzi chake kwani vitenge na handbag kila mara vinapelekwa. Huwezi kumwambia kitu akakuelewa.
 
Kama hautajili unaweza kutuambia ulikutana nae kwenye mazingira ghani
 
1. kuacha hataacha , hiyo ujue maana mazingira ni yale yale!!
2. anafanya lakini she still cares na anakupenda pale ni business
my take as A man lazima utake charge. na huria ya leo hii. wew mwache aende tu. keshonja huyo. na hizo txt weka kama kilelelezo ili ubakie na mwanoa maana atamfundisha ufuska!!
 
Kama hautajili unaweza kutuambia ulikutana nae kwenye mazingira ghani
Huenda wakati wanakutana alikuwa na decent girl ambae alipigwa chini kwakuwa hazungushi sterling.
 
Na sasa hivi ameshajua umejua, jiandae, kama unaendelea nae anaweza akarudi asubuhi na unajua part time job ni nini.
 
Kwa hiyo mambo ya nyumbani ndiyo umeamua kuleta kwenye mtandao eeeh? Na mimi nimwage mboga? Unadhani sina cha kusema? Wakati nakuletea ...mbona hukukataa?
 
Muache aende akituliza akili na kujua nini maana ya ndoa atarudi. Akirudi mkapime
 
Back
Top Bottom