Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

wewe mwanamke umemkuta katika hali gani hapo mwanzo alikua anafanya kazi hiyo hiyo ya hotel au na hao wanawake ni wagumu sana kuacha kazi kaa chini tafakari chukua maamuzi ,magumu achana nae tu kama vipi ila kama unapenda pesa zake jitoe ufahamu ishi nae hivyo hivyo tu kishingo upandeeee
 
Nafanya simple arithmetic. 17*12=204

204 daah. Kwa idadi hii ya wanaume, Sa hiyo kumma ina hali gani?
 
Mkuu 17-25 ? Kuna msemo "unaoa/unaolewa na malaya.
Lakini wewe umeoa kahaba.
 
Kiongozi, ndio maana nikakuambia kuwa usiombe ukafikia hatua ya kukata tamaa, usiombe kabisa. Ukielewa ninachomaanisha, hutaweka dau lolote mbele ya uhai na thamani yako, thamani yako hailinganishwi na dau lolote.
Aya bhana nimekupata mkuu
 
Kaka sema na moyo wako.. Kama upo TAYARI kuvumilia haya Kama umeshindwa bwaga manyanga... Pole Sana.
 
Mwanamke ni huyo tu mzee? Achana naye mbona wanawake wako wengi tu huko mtaani
 
Valentina! Are you an angel sent to me? Mbona unanishawishi sana....
Ha haa am not an Angel bana...

Ila ukweli ndo huo,kelele zinazopigwa about mahusiano zisikutishe. Chagua kuwaza na kukiri positive utafanikiwa
 
sijasoma page zote...mtoa mada kapime kwanza uijue status yako ndio ushauri mzuri utafuata baada ya hapo,mfano ukikutwa tayari basi endelea nae tu maana hakuna namna,ukiwa umenusurika basi unaweza kufanya maamuzi mazito.Kapime kwanza urudi ulete mrejesho mwinjilisti
 
''..hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa...''
Vipimo vya vijana kuchagua mwenzi wa maisha vinashangaza sana.
 
Mh!!! Kuna majaribu dunia hii!.....I'm speechless!!!....Pole though
 
Back
Top Bottom