Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?

This might be hard to hear but LEAVE THAT WOMAN! MOVE ON WITH YOUR LIFE! Najua it's easier said than done!

Chakwanza, hata siku moja usimpige mwanamke. HUO NI USHAMBA, HAYO NI MAMBO YA ZAMANI! Huyo ni binaadamu, mama wa mtoto wako na hata kama amekosea, NO ONE DESERVES TO BE BEATEN. So acha hio tabia.

Now let's move on. My friend, pole sana. Najua inauma, yani inauma mpaka unashindwa kupumua. Koo linauma, kuna kitu kinakaba unatamani UMNYONGE. But don't do anything utajutia. Take a deep breath (keep taking deep breaths), take you child out for some activity, do something to keep your mind busy. Once again i know this is easier said than done. Now since your an IT person, i can imagine your analytical skills are good. Think about it as a networking issue, or router issue or a virus. Identify the problem (YOUR WIFE HAS BEEN CHEATING ON YOU MANY MANY TIMES), approach the problem (you have approached your wife, she denied, you beat the crap out of her, akakimbia and now she wants to leave), think of a long term solution (je kweli do you believe atabadilika? Isn't she so used to that life style just to give it up? I think hata badilika and i know this is hard to hear). Once you have calmly thought of all that, then decide your conclusion. What anti-virus are you going to use. How will you safe proof yourself from further attacks (bado natumia IT analogy).

Ushauri wangu. Find a divorce lawyer, and start negotiating custody of your child. Unaweza msamehe, but my friend trust me. IT WILL ALWAYS EAT YOU UP. You won't love her the same, every time you look at her you'll be disgusted. Utaanza jiuliza if the child is yours. WHICH BTW, nenda ukafanye partenity test kujua kama mtoto ni wakwako. Mimi sisemi usimsamehe. I think in time you'll learn to forgive her, she is after all the mother of your kid. Ila ninachosema MOVE ON! As painfully as that is.

Once again pole sana. Talk to someone, don't isolate yourself.
 
chukua mtoto peleka kwa bibi ake then achana na huyo mwanamke kisha uanze maisha ya ubachela huku ukitengeneza maisha yako na ya mwanao, utapata mwanamke bora zaidi na kubaki na huyo kitobo.
 
kwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
Wewe sio mwanaume, naamini huwezi kuelewa ni jinsi gani inauma kujua mke wako ni mrahisi kama kuku jike. Japo najua usaliti hauna jinsia, lakini kuwa na mwenzi mhuni na malaya ni pigo kubwa katika maisha, huwezi kuishi kwa furaha, japo furaha hailetwi na mtu mwingine lakini mwenzi wako aweza kuitimiliza furaha yako.

Money won't/can't give you everything in life. Mwisho wa siku kujiuza ili kuwa na maisha mazuri ataona ubatili mtupu.
 
Njoo ufanyiwe maombii!!, njoo uombewe!. Hatari, tatizo mnapenda wanawake wenye pesa ama wanaojishughulisha japokuwa hamuangalii shuhuri zenyewe. Anyway....jifanye mjinga, msamehe arudi ila aache kama alivyokili yeye mwenyewe. Akiendelea amua lolote juu yake ambalo unaona litasaidia maisha yako kutodharaulika.........Wanawake jamani.........Hamieni dodoma kule
 
Ama kweli ukistaajabu ya Mus sa utayaona ya firauni, Yaani electronically umemfumania mke wako na mwenyewe amekiri alafu hujamtimua bado?!!!! Come on Man, timua huyo kahaba mungu yupi mtoto wako atakua tu.
 
Ninachoamini kama hakuna mapenzi hakuna pesa itakayoweza kuyanunua. Kuna wanaume jeuri wewe, yuko radhi akapange chuma kwenye nyumba ambayo haina umeme wala maji lakini amekutoa kwenye macho yake.
Nakubali ila usisahau huyu jamaa alimpenda (if and only if -iff kastori kake kana ukweli) baada ya kukuta bi dada anamiliki mkoko na hali nzuri. Hivyo hawezi kuwa na ubavu unaousema.
 
Ukimwacha mkeo hatoacha kujiuza na ukiendelea nae pia hatoacha kujiuza na hiyo ina maana kua tabia hiyo kwa mkeo ni sugu kwani anaamini hakuna maendeleo bila kujiuza na ogopa mtu kuamini au kua na imani juu ya kitu fulani kuacha ni ngumu sana
Tabia ni kama ngozi
 
Ukimwi kama marelia tu, ARV zipo za kutosha.Pesa ndo mpango mzima, kuugua ukimwi hakumaanishi ndo mwisho wa maisha....
Haya ni maneno ya mtu aliyekata tamaaa katika maisha. Nakushauri usije kufikia stage hii katika maisha, pesa sio mpango mzima na dhumuni la mwanadamu hapa duniani lingekuwa pesa basi maisha yasingekuwa na maana yoyote.
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?

hapo nilipo bold pananichanganya akili
 
dah hiv inakuaje mtu unamfumania mtu kiivyo with vvd example then unataka kuendelea nae , ushauri wangu temena nae jamii na wanao watakuelewa tu wakikuwa huyo ni zaidi ya changu 17 up to 25 per month , hiyo PAPUCHI sjui inasura gani
 
Umeoa?? tuanze hapo kwanza?? kama umeoa unajua mkeo mambo anayoyafanya huko nje??
Ndio nmeoa.. Hapo umeuliza nmeyajua anayofanya mke wangu.

Mkuu una miaka mingapi? Sasa kama hujui anachokifanya mkeo utamhukumu kwa lipi?
Kwahyo Siku ukijua kuwa mkeo anajiuza utaendelea kuishi naye kwakuwa hapo mwanzo hukujua?

Hivi unafikir hali ambayo unaishi Nayo sasa itakuwa sawa na utakapogundua kuwa anatembea na timu nzima ya Mpira
 
Haya ni maneno ya mtu aliyekata tamaaa katika maisha. Nakushauri usije kufikia stage hii katika maisha, pesa sio mpango mzima na dhumuni la mwanadamu hapa duniani lingekuwa pesa basi maisha yasingekuwa na maana yoyote.
Hivi mkuu labda imetokea bahati umeambiwa ulale na mwanamke mwenye ukimwi alaf umetengewa dau la bilioni 10 utakubali au utakataa??
 
Hivi mkuu labda imetokea bahati umeambiwa ulale na mwanamke mwenye ukimwi alaf umetengewa dau la bilioni 10 utakubali au utakataa??
Kiongozi, ndio maana nikakuambia kuwa usiombe ukafikia hatua ya kukata tamaa, usiombe kabisa. Ukielewa ninachomaanisha, hutaweka dau lolote mbele ya uhai na thamani yako, thamani yako hailinganishwi na dau lolote.
 
Back
Top Bottom