Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Suala lako tuliangalie pande mbili, kwanza umeshaona ana makosa yani ushajua mkeo ni malaya na umekiri kua unampenda , udhaifu wako huo ndio kaburi lako kwani anaonekana kukushinda kipato wewe, na ndio sababu amekataa kuacha kazi kwani anajua atateseka akikubali kuacha kazi.
 
umesahau kitu muhimu kwenye kichwa cha habari...........................................Riwaya
No Tyta sio riwaya! Nakwambia hivyo sababu wengi mtamwona mwongo ila ni Jambo ambalo linewahi kunifika Mimi kabisa na ni ushuhuda kwenye maisha yangu. Kwa sasa nalea tuu mtoto na tofaut na yeye Mimi mke wangu nlimsomesha hadi deal la kazi mlimtafutia ikiwemo jinsi ya kuandika barua ya kazi.
Mambo yalianza niletea ukakasi alipokuwa Chuo aliposomea wakati pia na alipoanza field alionesha hizo element sema nikaa naye chini nikampa somo nikamkanya so maisha yakaendelea, Ebwanaa ee mkuu Tyta asikwambie mtu alipoanza kazi tuu ndo nlipoanza kuisoma namba na kweli nliisoma hatare kwa kifupi ni hivyo maana sitaki hata kukumbuka madhila yale. Mtu anayefanya kazi hotelin na hasa mahotel ya kitalii kwangu ni mwiko hata nurse sitaki hata kuwasikia.
 
hahahaha safi sana hii nimeipenda kwa kweli....naona mtaamini sasa kuwa wanawake kazi yao ni kugegedwa tuu
 
Ukimwacha mkeo hatoacha kujiuza na ukiendelea nae pia hatoacha kujiuza na hiyo ina maana kua tabia hiyo kwa mkeo ni sugu kwani anaamini hakuna maendeleo bila kujiuza na ogopa mtu kuamini au kua na imani juu ya kitu fulani kuacha ni ngumu sana
 
inaweza kuwa kweli ila umezidisha tuchumvi vile..
 
Mkeo ana prostitution addiction, siwezi kukueleza kua umwache mkeo au uendelee nae nachoweza kusema jipime je maslahi yapi mapana maishani mwako na furaha yako hua ni ipi au suala lipi litakupa furaha katika maisha yako , usiulazimishe moyo wako kuishi kwa manung'uniko maishani mwako na usikubali kuikatisha furaha yako kisa pesa za mkeo.
 
Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.

Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??


SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.
Ndio maana ukaambiwa ni conversation which means ni mlolongo wa chating... Ila jamaa kafanya kuunga moja kwa moja ili kujenga picha ya kilichotokea.
 
Shida za kwenu anazihandle wakati mwingine bila wewe kujua, na mama ni kipenzi chake kwani vitenge na handbag kila mara vinapelekwa. Huwezi kumwambia kitu akakuelewa.
You are right yaani ni shida usiombe. Si ajabu alishiriki kukushawishi ujengee wazazi wako na pesa 75% katoa yeye! Mama yako akikohoa hela inatumwa bila wewe kujua leo ati umuache na alikuwa anatumia ndom. Mengine ni ya kuacha tu.
 
Looohhh umeibua majanga ndani ya ndoa yako,
Wanaume tuna makoromeo, ulitakiwa iwe siri yako ulifanyie kazi taratibu,
Sasa hivi katika kila wenye ndoa kumi, nane wapo kama mke wako,
Wanaume tunagundua watoto wanao zaliwa kwenye ndoa wengine sio wetu ila tunapotezea,
Tena kaka wewe una mke mzuri sana ambaye anajitambua kwenye dhana nzima ya kujikinga,
Wengine wengi ni vilaza katika swala zima la kujikinga, wengine wapo hapa Jf
 
Ila na ww, muda wote huo ulishindwa kumtambua msaliti! Usikiamini kiumbe usichokizaa!.. Ila mvumilie na mwache aendelee na kazi kama ameahidi kuacha hayo matendo na uhakikishe unambana kisawasawa kwenye lile tendo!
 
No Tyta sio riwaya! Nakwambia hivyo sababu wengi mtamwona mwongo ila ni Jambo ambalo linewahi kunifika Mimi kabisa na ni ushuhuda kwenye maisha yangu. Kwa sasa nalea tuu mtoto na tofaut na yeye Mimi mke wangu nlimsomesha hadi deal la kazi mlimtafutia ikiwemo jinsi ya kuandika barua ya kazi.
Mambo yalianza niletea ukakasi alipokuwa Chuo aliposomea wakati pia na alipoanza field alionesha hizo element sema nikaa naye chini nikampa somo nikamkanya so maisha yakaendelea, Ebwanaa ee mkuu Tyta asikwambie mtu alipoanza kazi tuu ndo nlipoanza kuisoma namba na kweli nliisoma hatare kwa kifupi ni hivyo maana sitaki hata kukumbuka madhila yale. Mtu anayefanya kazi hotelin na hasa mahotel ya kitalii kwangu ni mwiko hata nurse sitaki hata kuwasikia.
Vyuo hua vinawatia kiburi wanawake walio wengi na hii hua wanakuja kujuta kwanza baada ya kumaliza vyuo au baada ya kukaa makazini kwa muda fulani na kuona kumbe walikua wanadanganywa ndio hujuta waliyoyafanya na kurudi tena hawawezi, hao wanawake hawana formular unaweza kuoa hata mwalimu au mama wa nyumbani asitulie pia.
 
Kuna Watu huwa hawapendi kuamini ukweli kwa kuwa hayajawakuta... Dunia hii Ione ivi ivi..mbona ya kaka hayo Ni Mdogo???mfano..kuna Dada namjua Na Hata ukipewa Picha yake kwa anayomfanyia yule Mbaba Boss wa Bank KUU hutaamini..to cut the story short..Dada baada ya kumfumania mumewe wa ndoa Na maid wa harusi yao alianza kuishi maisha kisela
Akapata Serengeti boy ambaye hana uwezo kivile.Yaani mission town Boy....Baadae akampata Mbaba..Yaani Watu wa Mjini wanaita Mfadhili..Mbaba wa Watu akambadilishia maisha atake nini Ni shost yule..Lakini kwa kuwa Mbaba lazima narudi kwake Sometimes (nae mke walitengana)Basi yule Serengeti boy huna kama kwake Na kuvaa pensi Na kufanya shughuri zoote za nyumbani kama yeye ndo Faza house..You know what..Akanisimulia kwamba kuna siku Mtoto wa Dada ake wa form 3 anayeishi naye pamoja Na msichana wake wa kazi Na Mtoto wake Mdogo wa darasani la 2 walimkalisha chini kama kusema mama kwamba hawamtaki Uncle T wanamtaka Yule Mbaba anayekujaga.Maana anawajati shopping ada Chakula Maana akina huna Na.kila kitu Na huwafuatilia shule.huyo Uncle T mwingine akija Ni mikwara Miingi Na ubabe nothing to offer and alike.Jamani nilichoka..nikamuuliza what if Mbaba akina ghafra usiku akasema huwa hajagi bila kumwambia Nikamwambia usijidanganye wanaume are very smart..akasema Anamwamini saaana saaana Maana Mara zote yupo home..Na akasema Hata ikitokea akina mchana akimkuta Nikamwambia Ni.Kijana namtumaga au kwa kuwa yeye Ni MTU wa chama ana cheo kwenye kata pia ni mwanasiasa huyo Dada eti atadai Ni mwanachama..but.nilimuasa atakosa vyote pia anaweza kuuawa huyo Baba sio mjinga anavuodhani..Anachoogopa huyo.kaka akimuacha kizembe atamvurugia kitumbua chake Ni bora ivyo ivyo. Kumbuka Serengeti anamjua huyo baba.Na.Anajua anakula vya Watu but kwa kuwa hana hela Na pia alikuwa wa kwanza Kabla ya Mbaba anakomaq Na Anachukia sana anachofanyiwa but Dada Anataka maisha mzurii..Kumbuka Serengeti ana mpaka mapichaa kama ya yule Lydia. Hapo unasema Ni story.Jamani mambo Haya ukiyasikia au ukiambiwa shukuru umejifunza kitu au kama huamini unapita kimyaa.But Yanatolea sana..Humu hatujuani wala hatupewi.Zawadi kwa kuandika Insha udanganye kwa faida gani..Better believe it or leave it.
 
You are right yaani ni shida usiombe. Si ajabu alishiriki kukushawishi ujengee wazazi wako na pesa 75% katoa yeye! Mama yako akikohoa hela inatumwa bila wewe kujua leo ati umuache na alikuwa anatumia ndom. Mengine ni ya kuacha tu.
Tena na wadogo zako anawasomesha yeye, akifika kwenu ni kama Angela Merkel.
 
Akina-akija..Simu.inabadilisha maneno yenyewe mpaka niwe makini nayo (Sorry) hope makosa Mdogo mtayarekebosha.
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Ulimpiga mbele ya mtoto.?!
 
Pesa sio kila kitu, amani na furaha ya moyo ndio kila kitu. Mshukuru Mungu amekuonyesha unaishi na mtu wa aina gani. Mtoto atakuwa tu, huwezi kushi kwenye uhusiano huo kama roho yako haiko tayari.
Ni rahisi huo uhusiano kuvunjika ikiwa sio wa ndoa, lakini kama ni ndoa, hio haiwezekani. Kumbuka kiapo walichokula siku ya harusi.
 
Pole sana Mkuu,,,,,,,,,,,inawezekana katika aliotembea nao kuna mtu anamfanya mke kabisa ndo maana anasema anaondoka.

Shangazi yake atakua anamsupport katika hilo sio mtu mzuri
 
Back
Top Bottom