Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Unajua haijalishi wengi wanaponda ndoa/mahusiano kwa kiasi gani. Amini tu wakufanana nawe yupoHahahahaa... #Valentina mimi najielewa sana na kama ntaruka stage basi ni hii ya kuoa
Unajua haijalishi wengi wanaponda ndoa/mahusiano kwa kiasi gani. Amini tu wakufanana nawe yupoHahahahaa... #Valentina mimi najielewa sana na kama ntaruka stage basi ni hii ya kuoa
Huu Unaweza kuwa ndio ushauri mbaya kuliko wote hapa jf..wanawake wetu hawa hasa wake zetu wanapata pesa zai katika mazingira ambayo ya ajabu sana
dogo hapa unachanganya kati ya upendo na sex
papuchi ni papuchi tu usishtuke mke wako kutoa papuchi kwa ajili ya maisha yenu as long as anakupenda wewe endelea nae tu
YES anakupenda ndio maana anakulinda kwa condom anafanya hivyo kwa ajili ya future yenu na wanawake brother wanakuwa wana malengo na yale malengo yake yakikamilika huwa wanaacha hiyo michezo... mie nina mifano mingi tu naijue
kuna wanawake wanavuliwa chupi huko maofisini ili mradi tu wapate kazi na kupanda cheo WHY?? kwa sababu wanataka kutengeneza maisha yao na familia zao
so mkuu kuna watu watakuja hapa kukwambia kuwa muache kumbe wao wake zao wanabanduliwa na mabosi, wengine wanabanduliwa na mangi wa dukani, wapemba na madereva taxi
issue ndogo sana hii wala usihangaike mpende mkeo na usipende sana kumchunguza
Umenkumbusha mbali-hata ukilalamika na kutoa machozi ya damu hakuna anayekusikiliza na wewe kumwacha ni kiama. Usiombe kaka yako kukutana na mashakumpe kama hayo yanakaanga roho yakeTena na wadogo zako anawasomesha yeye, akifika kwenu ni kama Angela Merkel.
Kama yupo kuacha hayo matendo sawa ila kazi unayo ndugu yangu dudu 20 kwa mwenzi maxa miaka 6 hiyo sio nanihihi tena ni maabaraWapendwa hamjambo?
Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.
Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.
Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu
Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.
Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.
Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.
Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Hiki kizazi cha ajabu sana mwananke anatembea na timu nzima ya mpira.. Bado mtu anasema amsemamehe waendelee kuishi.. Huo sio ukipofu bali ni upumbavuUsifanye kitu ambacho moyo wajo hautaki. Pia huwezi jua akiendelea atateleza lini na kuleta magonjwa ndani. Shkuru Mungu kwamba u mzima hadi sasa. Chukua hatua mwombe Mungu akupe mwingine.
Na ukimwi unaendelea nazo? Hasara roho pesa makaratasikwa mafano mimi ningekuwa wewe ningemwacha aendelee huku nafaidi pesa zake ........... ilakakwambia ukweli anauza nyapu na hawez kuacha kuuza
Huu Unaweza kuwa ndio ushauri mbaya kuliko wote hapa jf..
Hivi ukiwa ndio ww umegundua mkeo anatembea na wanaume zaidi ya kumi hapo kuna raha gani ya ndoa?
Huyo mwanamke utakuwa na amani naye?
Ninachoamini kama hakuna mapenzi hakuna pesa itakayoweza kuyanunua. Kuna wanaume jeuri wewe, yuko radhi akapange chuma kwenye nyumba ambayo haina umeme wala maji lakini amekutoa kwenye macho yake.Umenkumbusha mbali-hata ukilalamika na kutoa machozi ya damu hakuna anayekusikiliza na wewe kumwacha ni kiama. Usiombe kaka yako kukutana na mashakumpe kama hayo yanakaanga roho yake
Ukimwi kama marelia tu, ARV zipo za kutosha.Pesa ndo mpango mzima, kuugua ukimwi hakumaanishi ndo mwisho wa maisha....Na ukimwi unaendelea nazo? Hasara roho pesa makaratasi