Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

tatizo vijana wengi wa siku hizi hamna msimamo kwa kifupi hapo ndoa hamna ukiendelea kukaa naye utakuwa unaishi na masononeko mwache afurahie uhuru wake na wewe utapata utakayendana naye
 
Ni rahisi huo uhusiano kuvunjika ikiwa sio wa ndoa, lakini kama ni ndoa, hio haiwezekani. Kumbuka kiapo walichokula siku ya harusi.
Nani kakudanganya..mbona.zinavunjika tu.kama kijiti kikavu wakileta ushahidi?Wewe wa wapi?
 
Mimi nina wasiwasi na maelezo yako kwa kua kwenye kazi za hotel sio kila mtu anafanya kazi popote pale anapopangiwa maana umesema leo anaweza kuwa ana serve restaurant au vyumbani hilo si kweli kwa kua huduma za vyumbani zinafanywa na watu wa vyumbani wanaitwa room service ambao mara nyingi huwa wanapokea oda za vyumbani na pia kwenye hotel mfanyakazi kutembea na mteja chumbani ni kosa kubwa linalopelekea mfanyakazi kuachishwa kazi,sasa nashangaa mkeo kutembea na wateja wasiopungua 17 au 25 kwamwaka na asikamatwe kweli inawezekana? nna wasiwasi sana na hii stori yako,labda hotel za uchochoroni,ukizingatia siku hizi wenye hotel wengi wameweka Camera za cctv kwenye kila korido kitu ambacho ni rahisi kwa watu kufuatilia nanikaingia wapi na kwa muda gani.
 
Duuu mkasa unaumiza sana lakini tuwe watu wa kujifunza rafiki wa kweli ni watoto wako na mama yako mzazi. Ningekuwa mimi ningetumbua jipu siitaji ushauri ni mwendo wa maamuzi magumu
 
Mbona hilo jambo sio gumu kabisa.. Hebu imagine mimi ndo nimekusimulia huo mkasa, we ungenipa ushaur gan??? Sasa tumia huo ushaur ambao ungenipa...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukiona vyaelea ... vimeundwa!

Mnatucheka sisi tuliowafuata vijijini ... tukawaleta mjini ... tukawafungulia vimiradi vidogo vya ufugaji ... anyway ...

Maisha hayana formula kijana, ukisia "KUA UYAONE .." Sio magari ndo hayo uloyaona! Kwa hesabu hiyo wife yako ameishahudumia dushe nyingi ambazo zikikatwa na kuwekwa kwenye gunia huwezi hata kubeba!
 
Ndio maana kuna baadhi ya kazi mwanamke akifanya anadharaulika ndio kama hizi hao wanapakuliwa sana aisee hawafai
 
Asilimia 95% ya wanawake wa siku izi wanauza papuchi haijalishi wapo ndani ya ndoa au lah! Money talks
 
Shida ya vijana wengi hasa wa dar mnapenda sana umariooo na ndo mtaisoma sasa dar nayo kuwa mkoani makao makuu dodomaaa...
 
Kumtenganisha mwanamke alieanza kufanya umalaya ni ngumu sana,bora uachane nae ujipange na maisha yako. Magonjwa yako mengi sana mkuu.
 
Duh nshaanza kuogopa hata mimi nina mpenzi yuko hotel flani hv jinsia ya kiume huwa ananiambiaga changamoto anazopata ila sijajua ukweli wowote mpaka ntakapochunguza simu yake siku moja ila alishaniambia kuwa kaamua kutulia na mimi ila wazungu hawa siyo watu wazuri.
 
wanawake wetu hawa hasa wake zetu wanapata pesa zai katika mazingira ambayo ya ajabu sana

dogo hapa unachanganya kati ya upendo na sex

papuchi ni papuchi tu usishtuke mke wako kutoa papuchi kwa ajili ya maisha yenu as long as anakupenda wewe endelea nae tu

YES anakupenda ndio maana anakulinda kwa condom anafanya hivyo kwa ajili ya future yenu na wanawake brother wanakuwa wana malengo na yale malengo yake yakikamilika huwa wanaacha hiyo michezo... mie nina mifano mingi tu naijue

kuna wanawake wanavuliwa chupi huko maofisini ili mradi tu wapate kazi na kupanda cheo WHY?? kwa sababu wanataka kutengeneza maisha yao na familia zao

so mkuu kuna watu watakuja hapa kukwambia kuwa muache kumbe wao wake zao wanabanduliwa na mabosi, wengine wanabanduliwa na mangi wa dukani, wapemba na madereva taxi

issue ndogo sana hii wala usihangaike mpende mkeo na usipende sana kumchunguza
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Wana JF na Watz. wote kwanza tuache unafiki maana nimeona wengine mnaremba kupeana ukweli, na ukweli daima utatuweka HURU.
Ndugu huyu Hallort wako mpe RED TATU kwish biashara kuokoa maisha zaidi tena hataki kutemana na hiyo joba kwakuwa kashazoea kupigwa mashine Frequently MTEME ASIJE KUKUA NA MOTO CHAP.
Na kama Kid ni kubwa unaruhusiwa kumchukua mwanao temana naye kama hataki kuacha hiyo kazi na hiyo tabia yake ya UKAHABA.
Na kama mto ni mdogo fanyeni pia maridhiano ya kupeleka matumizi japo kina changamoto za malzi ya kumuathiri mtoto kulelewa na Single Parent.
Zaidi Pambana kwa khali na mali aachane na hiyo kazi japo awali ulifurahia kipato pasipo kujua, maana vijana wengi hasa wa Dsm wanapenda kulelewa na kubebwa na Mashuga amamy na haya ndiyo madhara yake pia.KUmpenda mytu kutokana na kipato.
Komaa acha uboya, wewe ni wa kiume kuwa ngangari hasa kimatumizi maana nayo huenda inachangia kwa kiasi fulani, japo Nguruwe ni Nguruwe tu hata ukimuogesha bado atajichafua TU.
 
Back
Top Bottom