Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

Kamata Chini, Kamatia Chini...[emoji444][emoji444][emoji23][emoji23]

Maisha u sharp wako tu. Tehe
 
Nani kakudanganya..mbona.zinavunjika tu.kama kijiti kikavu wakileta ushahidi?Wewe wa wapi?
Kwa maana mtu anakua hana ''HOFU YA MUNGU''

Mwenye hofu ya MUNGU kamwe hawezi kwacha (kuvunja lile agano)

Ukiwa na hofu ya Mungu, huwezi kuzini

Ukiwa huna, kuzini unaona ni kawaida tuu.

Ndiio maana neno la Mungu linasema

''Mke mwema ni yule atokae kwa BWANA''

Bila kupata wakutoka kwa Bwana ndio madhara hayo.


Vijana,

Ndoa ni pana sana, inachanvamoto nyingi mno sisi peke yetu bila Mungu hatuwezi.

Ni muhimu sana kumuomba MUNGU akuonyeshe yule ambae amempanga kwaajili yako, otherwise ndio mambo kama hayo yaliyomsibu jamaa.

Kiapo aneshakula, kumoenda ana mpenda lakini mwanamke ni mzinzi ...

Kuhusu swala la Mimi ni wa wapi.?


Mimi ni wa Mbinguni ...!
 
Malaya huyo!!.labda ufie mtoto huyoo!!
Mi ndo maana sitishwi na wadada wa mjini
Maana looh!
 
Mkuu kukwambia kwamba ataacha hayo mambo lakini hayupo tayari kuacha kazi ni uongo. Kwa mshahara uliosema na vitega uchumi ulivyosema kwanini ang'ang'anie hiyo kazi yenye maslahi duni kuliko kuokoa ndoa/familia yake? Mimi sikuambii kitu cha kufanya akili ni zako kichwani. Sasa kama anapiga blow job (kunyonya dushelele) hatari ya magonjwa ipo palepale. Na magonjwa sio HIV tu hata homa ya mapafu anaweza kupata na kukuambukiza ambayo ni hatari kuliko HIV, kuna Human Papilloma Virus (HPV) ambao wanaweza kusababisha cancer ya kizazi au kwenye dushelele au kwenye tigo e.t.c. tafadhari search habari zaidi za hao HPV pamoja na ile homa ya mapafu (Hepatitis B, hepatitis C, and hepatitis D). Ila yote kabisa hizo ndio changamoto za ndoa na maisha kiujumla. Ndoa au mahusiano ni biashara yenye risk sana, hasa wanawake/wanaume ambao hukutana na watu wengi makazini kwao. Angalizo msiwahukumu wenza wenu kwa maelezo yangu. Ukiwa tayari kurisk basi endelea na mkeo ila usililie usimjeruhi kwa kumpiga utapata matatizo makubwa zaidi maana kama kuliwa ameshaliwa hauwezi kufuta hiyo historia.
 
Mkeo ni mtu mwenye tamaa ya maendeleo kiasi kwamba She can sale herself to the devil. Lakini wanaume pia wengine tupo hivyo hivyo mkuu sema hapo ndio jumba bovu limekuangukia wewe ambae haupo kistyle yake ya kutafuta.
 
Hapo kazi unayo mkuu, huyo alishazoe hiyo tabia, mpaka kunyonya dushe, kuna uwezekano mkubwa amegawa hadi tigo, maana wazungu ndio mambo yao hayo. Hata ukimwachisha kazi kwani mtaani hawapo. Kikubw
a tafuta mke mwengine.

Hata mimi nilipo ona anamwambia mfanyakazi mgeni kwamba kwani.anaogopa nini? Alipo ongezea kwamba mengine atamweleza baadae basi nikajua huyo mwanamke anajihusisha vile vile na ngono.za ajabu!!

Nivigumu kumshauri muhusika, yeye afanye roho/moyo wake utakavyo mtuma.
 
Yani ni kweli mtu aandike details zote hizi kwenye chating??.

Na kutoa hadi takwimu na idadi ya wanaume aliotembea nao?? Plus alichofanya na kulipwa jana usiku??


SOMETHING IS NOT RIGHT HERE, NACHELEA KUSEMA KUWA SIJAMINI KILICHO ANDIKWA, Ila neno langu sio sheria.

Hiyo ni story ya kutunga tu kufurahisha genge.
 
Mwinjilisti hebu muone kwanza mchungaji wa usharika wako atakusaidia kimawazo..
 
Pole sana mkuu. Sikujua kama ni mke wako. Ila ni kawaida sana kwa baadhi ya wahudumu kujipumzisha na mgeni especially shift za usiku. Tutaacha mara moja hii tabia ya kuwakaribisha vyumbani wahudumu
 
haya mandoa haya,mmhn! kila siku nashuhudia na kusikia habari nzito kuhusu ndoa.
 
Ndio shida pale unapohisi umeoa kumbe umeolewa.
 
Speechless. Ila mkuu unaoaje mfanyakazi Wa hotelini?? Kwani kwenye mizunguko yako hujawahi kula wahudumu???

Ogopa sana wanawake wanaofanya kazi za shifti maana rate yao ya kunyonya ni kubwa zaidi
 
Wapendwa hamjambo?

Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.

Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki ya tatu sasa simu ya wife ilipata tatizo kama vile ikawa imepoteza memory, vitu visivyoeleweka vinajitokeza kwenye screen, akanipa niangalie shida nini, nikairekebisha ikawa imepona, ilikua na virus wengi, baadae nikaanza kuangalia ma file mbali mbali ikiwemo sms na whatsaap kuona kama vitu vimepotea au la, kwenye whatsaap nikakutana na conversation very interesting kati ya wife na anaeonekana kuwa msichana mpya kazini kwao.

Katika conversation hiyo, wife anamweleza yule binti kuwa asiogope kulala na wateja maana ndio mbinu pekee ya kupata pesa mbali na mshahara, nanukuu, '' mimi leo nisingekua na maisha haya kama sio deal hizo, nimewajengea wazazi nyumba, nimesomesha wadogo zangu na nina miradi kibao, wazungu na wageni wengine wapo tayari kutoa dola hamsini hadi Mia just for a short time, hakikisha always unatumia condom, kwa miaka sita niliyofanya hapo hotelini nimetembea na wageni wengi, kwa mwezi naweza kulala na 17 hadi 25 na wengi ni wazungu, wengine wanataka kunyonywa tu hadi wamalize anakupa dola zako Mia, sasa wewe unachoogopa ni nini? Cha msingi usikubali kulala na mgeni yoyote bila kinga, Mimi hata Jana usiku nimelala na mgeni na kanipa laki moja ya kitanzania.Huwezi kuendelea kimaisha kwa mshahara wa 180,000
Usijali nitakuelekeza zaidi cha kufanya''. Mwisho wa kunukuu

Wadau nilitetemeka mwili kwa conversation ile, ndipo nikapata majibu, kwanini nilimkuta wife ana maisha mazuri kwa kazi hiyo ya uhudumu wa hotel, maana, nimemkuta ana gari na vitega uchumi vingi anavyoletwa hesabu kila mwisho wa wiki na hali hiyo nzuri ndiyo ilinivutia kumuoa bila kujua kumbe ni mapato haramu ukimuona kwa mara ya kwanza unaweza kudhani anafanya kazi benki kuu ama revenue authorities.

Nikamuita nikamuonesha zile SMS, ukatokea ugomvi mkubwa sana kwamba kwanini namchunguza, nikawa nimekatalia ile simu kwa ushahidi, baada ya wiki nzima ya ugomvi huku nikiwa na hiyo simu, nikampiga vibaya sana, akakimbilia kwao, wiki ya pili shangazi yake akaniita, nikawakuta wawili, nilishangaa sana kusikia shangazi mtu anadai maisha hayana formula, kwamba kutafuta ni kutafuta tu, akaniambia eti mbona kuna watu ni majambazi na hela zao zinapokelewa na wake zao, akawa anamtetea, maana mimi msimamo wangu nikawaambia, nipo tayari kusamehe kwa maslahi mapana ya mtoto kama anakubali kuacha kazi hiyo ya hotel, anitegemee mimi, nikaondoka, kwamba wakiwa tayari wanipigie simu wanijibu.

Weekend iliyoisha wife akanipgia simu kwamba niache ufunguo anakuja kubeba vitu vyake, nikamuuliza kwa hiyo umechagua kazi kuliko ndoa? Akasema kuacha kazi hawezi ila kuacha hayo matendo anaweza kama nitakubali.

Nipo njia panda, nampenda sana, ila anachokifanya ni prostitution, mlikuwa mnasemaje?
Kwahiyo mkuu mkeo wajanja wa town wanajipigia Tu?
Anyway pole mkuu lakini usisahau kuwa kuchapiwa Siri ya ndani piga kimya tafuta nna ya kufanya mambo ya ndani yamalizeni hukohuko ndani
 
Back
Top Bottom