allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,137
- 3,415
😅😅 anakupigia kwenye namba si umeona alivyo furahiiHii ndio yenyewe mkuu, ebu naomba namba zake...😋

Hapo kwenye Kijiji sasa!Samahani mkuu, kwani unatokea kijiji gani...🤔
Nikiwa mkubwa, nataka niwe kama wewe...😜Mtafute atakayekubaliana na masharti yako
Sisi Wanaume ndiyo waamuzi kwenye ndoa, iwepo ama isiwepo
Mwambie ajifunze kwa Wazee wa mwaka 47, sisi tulioa bila uwepo harusi
Tukimaliza kulipa posa na mali, tulikuwa tunaondoka na mke
Shida inaanzia hapo kwenye zoom, labda ana wasiwasi kwa sababu ndugu zake wengi hawana smart phones.Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?
Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.
Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Hizi ndio mbinu za kivita mwali....😋Shida inaanzia hapo kwenye zoom, labda ana wasiwasi kwa sababu ndugu zake wengi hawana smart phones.
Hebu mwambie utawaunulia ukoo wake mzima simu janja uone atasemaje 😆 😂
I'm humbled you know 😅Nikiwa mkubwa, nataka niwe kama wewe...😜
Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?
Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.
Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Sherehe ya nini wakati mnaishi pamoja sasa? Hivi mnakiki kweli...?Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?
Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.
Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Hii style ngumu tusidanganyaneHuyu hapa mkuu...View attachment 3668952
Sawa 😂Hizi ndio mbinu za kivita mwali....😋
Ebu ngoja nimwambie ili nione alafu nitaleta mrejesho
ana miaka mingapi na wewe una miaka mingapi ?Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?