Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

Hivi huwa una wanawake wangapi chief?
Ni mmoja tu mkuu....
20260628_213935.jpg
 
Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?

Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.

Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Mwanamke akikasirika mpige show, akifurahi mpige show, akinuna mpige show

Ashindwe kukuelewe wewe ukoje 🤣
 
Back
Top Bottom