Nimefurahi Kupata Mwaliko Wa Kumwona Tundu Lissu DC

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,471
2,000
Hapo chini ni barua pepe niliyopokea juzi ya shukrani kwa mchango wa matibabu ya Mh. Lissu pamoja na mwaliko.

================================

Ndugu,Habari za leo Nakuandikia kutoa shukrani kwa mchango wako wa matibabu ya Mh. Tundu Lissu. Ningependa pia kukufahamisha kuwa Mh. Lissu atakuwepo USA wiki ijayo. Unakaribishwa ukutane naye. Mh. Lissu atakuwepo Washington DC kwa muda mwingi na ataenda Houston, Texas kwa siku moja.

Kama kuna swali au kutaka kupata taarifa Zaidi wasiliana nami kwenye email au simu 240-423-3331. Soma vipeperushi kwa taarifa ya mikutano ya Mh. Lissu na Watanzania USA.

Nyani Ngabu utaniwakilisha mkuu.
Screenshot_20190206-172524~2.jpeg
image002.jpeg
image001.jpeg
 
jme

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
4,499
2,000
Hongera kwa mchango wako wenye dhamana ya kumtibu wapo busy kusema hakufuata utaratibu je asingetibiwa na wasamalia wema wewe ukiwemo wangepata wap morality ya kumsihi arudi nyumbani kwa kile wanachokiita kuwahudumia wapiga kura wake?
Imagine wewe ni baba wa familia mwanao amejeruhiwa wewe unakataa kumtibu alafu wasamalia wema wakishamtibu eti unajifanya ulikuwa unampenda eti arudi nyumbani huyo ni upendo wa wap?
 
Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,203
2,000
Hapo chini ni barua pepe niliyopokea juzi ya shukrani kwa mchango wa matibabu ya Mh. Lissu pamoja na mwaliko.

================================

Ndugu,Habari za leo Nakuandikia kutoa shukrani kwa mchango wako wa matibabu ya Mh. Tundu Lissu. Ningependa pia kukufahamisha kuwa Mh. Lissu atakuwepo USA wiki ijayo. Unakaribishwa ukutane naye. Mh. Lissu atakuwepo Washington DC kwa muda mwingi na ataenda Houston, Texas kwa siku moja.

Kama kuna swali au kutaka kupata taarifa Zaidi wasiliana nami kwenye email au simu 240-423-3331. Soma vipeperushi kwa taarifa ya mikutano ya Mh. Lissu na Watanzania USA.

Nyani Ngabu utaniwakilisha mkuu.
View attachment 1015100 View attachment 1015101 View attachment 1015102
Hongera ndugu yangu.
Umepiga hatua moja kubwa katika kutii kiu yako na kuifunua ID yako halisi uliyopewa na wazazi wako.
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,471
2,000
Hongera ndugu yangu.
Umepiga hatua moja kubwa katika kutii kiu yako na kuifunua ID yako halisi uliyopewa na wazazi wako.
Sawa ndugu karibu . Umewahi kutumia gmail lakini?

Kuna sender na recipient ukishindwa kutofautisha sio kazi yangu kukutofautishia.

Mimi sio mediocre kama unavyodhani. Come again.
 
Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,203
2,000
Sawa ndugu karibu . Umewahi kutumia gmail lakini?

Kuna sender na recipient ukishindwa kutofautisha sio kazi yangu kukutofautishia.

Mimi sio mediocre kama unavyodhani. Come again.
Mitandao hii ina mengi.
Ukishatoa sender with a positive ID na content ya email ni rahisi kujua imetumwa kwa kina nani.
Iwe iwavyo ni hatua muhimu...wala sio mediocre...ni matokeo yasiyotarajiwa tu wa matendo yetu.
Ni kama signature zetu za "sent from....using JF App"
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,471
2,000
Mitandao hii ina mengi.
Ukishatoa sender with a positive ID na content ya email ni rahisi kujua imetumwa kwa kina nani.
Iwe iwavyo ni hatua muhimu...wala sio mediocre...ni matokeo yasiyotarajiwa tu wa matendo yetu.
Ni kama signature zetu za "sent from....using JF App"
Haha tupe basi hizo positive IDs za recipients wa huo ujumbe man!
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,296
2,000
Hapo chini ni barua pepe niliyopokea juzi ya shukrani kwa mchango wa matibabu ya Mh. Lissu pamoja na mwaliko.

================================

Ndugu,Habari za leo Nakuandikia kutoa shukrani kwa mchango wako wa matibabu ya Mh. Tundu Lissu. Ningependa pia kukufahamisha kuwa Mh. Lissu atakuwepo USA wiki ijayo. Unakaribishwa ukutane naye. Mh. Lissu atakuwepo Washington DC kwa muda mwingi na ataenda Houston, Texas kwa siku moja.

Kama kuna swali au kutaka kupata taarifa Zaidi wasiliana nami kwenye email au simu 240-423-3331. Soma vipeperushi kwa taarifa ya mikutano ya Mh. Lissu na Watanzania USA.

Nyani Ngabu utaniwakilisha mkuu.
View attachment 1015100 View attachment 1015101 View attachment 1015102
Hata mimi nilipata!

I was honored to receive this special email!

TL afike mbali kwenye mapambano yake ya haki!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom