Nimefurahi Kupata Mwaliko Wa Kumwona Tundu Lissu DC

Nenda kampashie moto chai Mashinji hapo ufipa.
1549478824048.png
 
Naona jamaa anakula tu bata ughaibuni, Amesahau wakazi wake kuwa hata maji safi kwao tabu, Kumejaa nyumba za tembe, Lakini ndio ivo tena waliompa dhamana hana muda nao
Wewe kwenu kuna maji, si mnachangia na mifugo na fisi.
 
kwa namna anavyotema sumu Lisu yupo Tayari kuungana na yeyote na kufanya chochote alimradi apate madaraka;

He is desperate!!

Na ukiwa desperate huwezi fanya maamuzi sahihi.
Na alipo pigwa risasi ulijisiakiaje
 
Back
Top Bottom