Nimefurahi Kupata Mwaliko Wa Kumwona Tundu Lissu DC

Hapo chini ni barua pepe niliyopokea juzi ya shukrani kwa mchango wa matibabu ya Mh. Lissu pamoja na mwaliko.

================================

Ndugu,

Habari za leo Nakuandikia kutoa shukrani kwa mchango wako wa matibabu ya Mh. Tundu Lissu. Ningependa pia kukufahamisha kuwa Mh. Lissu atakuwepo USA wiki ijayo. Unakaribishwa ukutane naye. Mh. Lissu atakuwepo Washington DC kwa muda mwingi na ataenda Houston, Texas kwa siku moja.

Kama kuna swali au kutaka kupata taarifa Zaidi wasiliana nami kwenye email au simu 240-423-3331. Soma vipeperushi kwa taarifa ya mikutano ya Mh. Lissu na Watanzania USA.

Nyani Ngabu utaniwakilisha mkuu.
View attachment 1015100View attachment 1015101View attachment 1015102
Ni heshima kubwa sana kwako kuonana na Nabii wa Mungu ambaye pia ni Rais ajaye wa Tanzania
 
Nyepesi nyepesi! Lissuu anatumika kama Sana'a ya maonesho kuingiza pesa. watu wanaingia kwa pesa .

Wazungu wanamuona kama mzi... unaotembea, wanautembeza duniani kama kiburudisho
 
Kama hatujauzwa basi tupo sokoni muda huu;

Watanzania kuweni makini na Lisu ataturejesha utumwani.

Ni sawa tumemsikia kwenye interviews lakini hatujui kinachozungumzwa behind doors.
 
Kama hatujauzwa basi tupo sokoni muda huu;

Watanzania kuweni makini na Lisu ataturejesha utumwani.

Ni sawa tumemsikia kwenye interviews lakini hatujui kinachozungumzwa behind doors.

Huko behind the door na nyie mnasemaje khs Lissu kupigwa risasi za kutosha na ile CCTV iliyoondolewa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huko behind the door na nyie mnasemaje khs Lissu kupigwa risasi za kutosha na ile CCTV iliyoondolewa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa namna anavyotema sumu Lisu yupo Tayari kuungana na yeyote na kufanya chochote alimradi apate madaraka;

He is desperate!!

Na ukiwa desperate huwezi fanya maamuzi sahihi.
 
Naona jamaa anakula tu bata ughaibuni, Amesahau wakazi wake kuwa hata maji safi kwao tabu, Kumejaa nyumba za tembe, Lakini ndio ivo tena waliompa dhamana hana muda nao
 
kwa namna anavyotema sumu Lisu yupo Tayari kuungana na yeyote na kufanya chochote alimradi apate madaraka;

He is desperate!!

Na ukiwa desperate huwezi fanya maamuzi sahihi.

Wewe ungetandikwa risasi zote zile,ukanyimwa pesa za matibabu,umegeuka mlemavu sasa na wala hujaona hatua zozote kuhusu waliokufanyia unyama ule,ungefanya nini?

Bila shika ingekua wewe ndio Lissu ungerudi nchi husika ulikopigwa risasi na kuendelea kuimba nyimbo za kutukuza malaika sio?hahah,we ni mzalendo 'kweri kweri'.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom