Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,690
- 8,281
Lucky Star, Muongezee na hili swali. Vipi wewe ungezikuta hizo chating kwa mkeo? Tuambie maamuzi yako
Mpige mashine leo za maana,pale ikimkoleo mwambie usikumbuke yake maupuuzi,ilikuwa just funnyThen njfanyeje!??
Wengine hiyo furaha isishapoteaga zamaaaaniNgoja nifute zangu, maana asijezifumania ikwa balaa..
Ogopa kukorofishana na unayelala naye kitanda kimoja...Furaha ikipotea inakuwaga ni balaa
Naam...au redio koluAtumie barua mkuu
Jina la nn tena mkuuUnaitwa nani tena vile!?
hahahaaa! mapenzi balaa kubwa!!🤣 🤣 🤣 izo zinatokeaga mwanaume mzima sku moja nimemskuma akaanguka nusu afe km kanumba
Vita ya kwanza na pili ya dunia vilipita ila za mapenzi haitaisha adi unakata pumzi ya mwishohahahaaa! mapenzi balaa kubwa!!
Atamkana vipi wAkati ushahidi ni text tena sex chat, au aseme simu yake ilidukuliwa, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kosa la kiufundi hilo kamanda.
Ni bora angebaki na hasira kwa muda mrefu, mwanamke mwenye hasira ni bora zaidi maana huwa hajapata suluhisho.
Wanawake wenye ndoa huwa wanatoa tunda kwa jamaa aliyemtongoza kipindi kirefu katika matukio kama hayo, akidhani kwamba analipa kisasi.
Kuanzia sasa kuwa makini na:
1. Safari zisizoeleweka za mkeo
2. Mavazi anayovaa akiwa anatoka ("akimechisha" chupi na sidiria jua anaenda kuliwa).
3. Utulivu wa kifikra ( ukiona amekuwa mtulivu sana na mwenye sura ilikunjuka,jua kuna jamaa anatoa faraja).
Note: Atafanya hivi kwa kipindi kifupi huwa haizidi miezi mitatu, ikizidi hapo jua umekosa mke mtabaki mnalea watoto tu.
Nikushauri tu, jifanye mjinga ikiwezekana mtoe sadaka na umkane kabisa huwa uliyekuwa unachati naye.
Pole sana.
HahahaBe her slave in a time she will forget at the same time, whenever you do her make her want some more...
Hit her well till she understands that it's the girl you were chatting with that was approaching you and not you approaching her...
Kwa kipindi hiki akili yako ikae mkao wa darasani maana ndo unamjua uhalisia mkeo yukoje... She'll show all her true colors..
Pole.