Nimefumaniwa na sex chat kwenye simu

Nimefumaniwa na sex chat kwenye simu

Leo anatoa nyapu pole yako,na usiku hutapewa game ukiomba utaambiwa nenda kwa huyo malaya wako,,ha ha ha huku nae akienda kusuguliwa na lile jamaa tolu ili akukomoe 😛 😛 😛 😛 😛 😀 😀 😀
 
Huna kazi za kufanya mkuu? Yaani muda wa kuonyesha mahaba kwa mkeo ww unachart na mtu mwingine tena bila haya unasema ni sex chart.
 
Mithali 24:3-4

Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo la kuangamiza nafsi yake..
Utafute usoo wa MUNGU, mkuu. Akujaze hekima yake na maarifa!

Kubali kujishusha na omba msamaha!
 
Swali, hiyo sex chat ungekuta kwake, je ungemchekea kama alivyofanya yy kukuchekea au kibano au mnuno au ungelipiza kwa mchepuko au au au au
 
Be her slave in a time she will forget at the same time, whenever you do her make her want some more...

Hit her well till she understands that it's the girl you were chatting with that was approaching you and not you approaching her...

Kwa kipindi hiki akili yako ikae mkao wa darasani maana ndo unamjua uhalisia mkeo yukoje... She'll show all her true colors..

Pole.
Naam! BI Clinton aliwahi kuhisi hivyo kwa mumewe, akawageuzia kibao wanawake wenzie(Bill Clinton aliepata kuwa rais wa Marekani)
 
hivi hiyo sex chat.....si bora kujipigia PUNYETO tuu.....
 
Hahahaaaa..

Hadi nimcheka..[emoji12][emoji12]
Leo anatoa nyapu pole yako,na usiku hutapewa game ukiomba utaambiwa nenda kwa huyo malaya wako,,ha ha ha huku nae akienda kusuguliwa na lile jamaa tolu ili akukomoe [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] 😀 😀 😀
 
Ameniwakia kinoma!! In nature mm ni mkali kidogo!! Ila usiku nilikuwa mdogo kama piritoni, yaani alinananisha hadi nikajiona fala na utetezi wangu
🤣 🤣 🤣 izo zinatokeaga mwanaume mzima sku moja nimemskuma akaanguka nusu afe km kanumba
 
Back
Top Bottom