Nimefumaniwa na sex chat kwenye simu

Nimefumaniwa na sex chat kwenye simu

wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
137
Reaction score
210
Wanajamvi nawasalimu.

Ni hivi wife alinipiga ambush simu yangu, niliisahau home asubuhi. Kakuta meseji za sex chat kwenye simu yangu. Kiuhalisia sijawahi Kusex na huyo niliyekuwa nachat naye.

Bali tuna chat kupoteza muda tu! Zaidi ya kuchat sijawahi kumsaliti wife.

Sasa jana amewaka vibaya mno ameniapia kuwa hana imani tena na mimi. Asubuhi ameamka kama hakuna kilichotokea. Anaongea na kucheka vizuri.

Sijui ananiwazia nini

Ushauri wanajamvi!
 
FB_IMG_1574973881900.jpg
 
Be her slave in a time she will forget at the same time, whenever you do her make her want some more...

Hit her well till she understands that it's the girl you were chatting with that was approaching you and not you approaching her...

Kwa kipindi hiki akili yako ikae mkao wa darasani maana ndo unamjua uhalisia mkeo yukoje... She'll show all her true colors..

Pole.
 
Umezini kwa hisia, vitendo bado.

Labda nikuulize swali, ikitokea umekutana na huyo mliyekuwa mkichat pamoja na akawa willing mfanye, hutafanya?

USHAURI:
Ongea naye ili mrekebishe mapungufu madogo katika familia yenu yanayokufanya ufikirie kuridhishwa na mtu nje ya ndoa. Kuna shida kidogo hapo si bure.
 
Be her slave in a time she will forget at the same time, whenever you do her make her want some more...

Hit her well till she understands that it's the girl you were chatting with that was approaching you and not you approaching her...

Kwa kipindi hiki akili yako ikae mkao wa darasani maana ndo unamjua uhalisia mkeo yukoje... She'll show all her true colors..

Pole.
Ameniwakia kinoma!! In nature mm ni mkali kidogo!! Ila usiku nilikuwa mdogo kama piritoni, yaani alinananisha hadi nikajiona fala na utetezi wangu
 
Umezini kwa hisia, vitendo bado.

Labda nikuulize swali, ikitokea umekutana na huyo mliyekuwa mkichat pamoja na akawa willing mfanye, haitafanya?

USHAURI:
Ongea naye ili mrekebishe mapungufu madogo katika familia yenu yanayokufanya ufikirie kuridhishwa na mtu nje ya ndoa. Kuna shida kidogo hapo si bure.
Yaaani sasa hv nimekuwa mdogo, nimejilaza kitandani naona aibu mwenzangu nadhani amejua nateseka
 
Sex chat za nini sasa mzee??..au ni fantasy za ajabu ajabu tu??
 
Be her slave in a time she will forget at the same time, whenever you do her make her want some more...

Hit her well till she understands that it's the girl you were chatting with that was approaching you and not you approaching her...

Kwa kipindi hiki akili yako ikae mkao wa darasani maana ndo unamjua uhalisia mkeo yukoje... She'll show all her true colors..

Pole.
Shkamoo mama👋🏽
 
kuna umuhimu wa goal line technology au VAR hapo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nifute zangu, maana asijezifumania ikwa balaa..


Ogopa kukorofishana na unayelala naye kitanda kimoja...Furaha ikipotea inakuwaga ni balaa
 
Ameamka kama hakuna kilichotokea kwa sababu anaenda kulipiza kisasi kwa kugawa mzigo bure!
 
Back
Top Bottom