FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,375 Mar 18, 2012 #103 pole sana mkuu mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
pole sana mkuu mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
BAGAH JF-Expert Member Jan 17, 2012 4,523 1,060 Mar 18, 2012 #104 ...pole sana ndugu yangu!Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu kwako na familia kwa ujumla!
WomanOfSubstance JF-Expert Member May 30, 2008 5,457 956 Mar 18, 2012 #106 Pole sana ndugu yangu. R.I.P mama
Mwakalinga Bujo JF-Expert Member Oct 22, 2008 2,719 1,440 Mar 18, 2012 #108 Pole sana mkuu. Mungu amempenda sana mama. R.I.P mama
SMU JF-Expert Member Feb 14, 2008 9,616 7,863 Mar 18, 2012 #109 Pole sana X-PASTER,ndugu na jamaa zako. Mungu awape ustahimilivu katika wakti huu mgumu kwenu. Apumzike kwa amani.
Pole sana X-PASTER,ndugu na jamaa zako. Mungu awape ustahimilivu katika wakti huu mgumu kwenu. Apumzike kwa amani.
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Mar 18, 2012 #110 Pole sana Mkuu X-Paster, Mwenyezi mungu atakupa subra.. Hakika sisi sote ni wake, na kwake ndio marejeo yetu
Pole sana Mkuu X-Paster, Mwenyezi mungu atakupa subra.. Hakika sisi sote ni wake, na kwake ndio marejeo yetu
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 Mar 18, 2012 #112 Pole sana mkuu. Mungu ampe faraja na amuweke palipo pema.
AshaDii Platinum Member Apr 16, 2011 16,190 18,080 Mar 18, 2012 #113 "Innah Lillah wa Innallilah Rajyun" Mkuu X-Paster.... Pole saana na Msiba Mungu akupe Imani na Amani katika kipindi choote cha Msiba.
"Innah Lillah wa Innallilah Rajyun" Mkuu X-Paster.... Pole saana na Msiba Mungu akupe Imani na Amani katika kipindi choote cha Msiba.
3D. JF-Expert Member Sep 7, 2010 1,018 282 Mar 18, 2012 #116 Mjomba X-PASTER pole sana. Mwenyezi Mungu akupe nguvu na ampumzishe mama mahali pema peponi.
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Mar 18, 2012 #118 Pole ndugu, mungu awape nguvu na imani kwenye kipindi hiki kigumu
PayGod JF-Expert Member Mar 4, 2008 1,259 57 Mar 18, 2012 #119 Pole sana, mwombe mungu sana kwa kipindi hiki kigumu
NGUVUMOJA JF-Expert Member Jul 1, 2011 1,347 325 Mar 18, 2012 #120 pole sana. Mungu Mwenyezi amlaze Mama mahali pema peponi InshaALLAH. Mungu akupe subira katika wakati huu mgumu. Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
pole sana. Mungu Mwenyezi amlaze Mama mahali pema peponi InshaALLAH. Mungu akupe subira katika wakati huu mgumu. Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.