Taarifa ya Msiba.Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,
Ndugu wapenzi, marafiki na member wa JF, kwa majonzi makubwa sana nawataarifu msiba wa Baba yangu mzazi ulio tokea tarehe 31 Aug 2010, uko Dar ES salaam kitongoji cha Sinza viwanja vya Sigara. Insha'Allah Mazishi yatafanyika Tarehe 1 Sept 2010. Saa saba mchana, kwenye makaburi ya Kisutu. Kwa wale wakazi wa Dar ES salaam kama wataweza kufika msibani basi watawawakilisha Member wengine.
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi kwake tutarejea, Ewe Mwenyezi Mungu nilipe kwa msiba wangu na unipe badili yake bora kuliko huo
إِنّا للهِ وَإِنَا إِلَـيْهِ رَاجِِعُـونَ ، اللهُـمِّ اْجُـرْني فِي مُصِـيبَتي، وَاخْلُـفْ لِي خَيْـراً مِنْـها.