demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
Muziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatenda
MAGUFULI ana Ilani 2.
Moja: ile ya Chama.
Mbili: ile yake mwenyewe.
Ya kwenye chama.... Inamtaka ahakikishe Maendeleo ya kijamii yanafanyika katika kipindi chake.
Ile yake mwenyewe... Inamtaka ahakikishe ana suppress haki za kikatiba za watanzania kwa lengo la kuwatengenezea hofu na vitisho. Kuhakikisha anatimiza masuala ambayo ni rahisi kuyatamka kama mafanikio yake kipindi cha uchaguzi ujao kama vile kununua Ndege na kusahau kupeleka Maji vijijini + kuboresha mikopo ya elimu ya Juu.
Yuko vizuri kwa kweli kwenye kutrkeleza Ilani yake!