Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Baada ya kitambi kumomonyoka ndio unatukumbuka nduguzo,,,? anyway naomba liwe fundisho kwako usije kurudia kosa
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nenda zako nani anakutaka mburura kama wewe.
 
no time argument,,,you just go where you c is gud to you but tribalism is the main xstics of chadema
Who care Mr.Man,No wonder we are moving foward one step Economically and the other Legime brings 5 steps below,Who is your Master of Thought by the way,ccm is a Monster killer of our Ecomy.
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#justiceforlema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG]
 
mbona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??

Hata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?

Nenda zako nani anakutaka mburura kama wewe.
Ndugu zangu wana Lumumba Kansigo yuko sawa na ni ujumbe kwa watawala na kujielewa ni jambo jema , msiumizwe na aibu ya kujiona kada namba 1.

Walikuwapo kina Kingunge walioifaidi chama lakini mwishowe uzalendo ulieashinda.

Ukweli ni kuwa awamu ya tano inawaona wananchi wake kama maadui wa nchi nyingine.
_Wanawaona wananchi kama si wazalendo
_Wanatuletea ubabe wa kikoloni kwa kutupitishia sheria za kikoloni za 1928
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.[/QUOTE
Mbona threads zinaonesha kuwa ni walewale wanywa viroba bavicha,wewe siyo CCM hata chembe
 
Bora umejitoa mwenyewe kuliko kusubiri kutumbuliwa Mkuu..... Ole wako tukuone tena CCM utakuwa NG'OMBE aliyekatwa mkia na hautakuwa na impact yoyote kwetu. Endeleeni kutanga Tanga huko huko nje ya CCM.
Alijitoa mzee Kingunge, Sumaye na Lowassa Sembuse wewe ambaye huna lolote. Nenda zako!!
CCM mbele kwa mbeleeee!!!!
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
HAYA KOJOA UKALALE
 
Nimekuwahi mkuu, ila naisaka kadi niitie kiberiti hata siioni! Shwaini!
 
Mbona CCM hatujakuwa na mtu kama wewe?? Au ulikuwa CCM B?? Hata kafulila naye jana alitoka ukawa akahamia ukawa.

Haaaahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom