Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Mi binafsi nimekusamehe, kumbe ndani ni India!
Au alikuwa anataka kusema ndani akasema India, si unajua ulimi hauna mfupa..
 
Hayo ndiyo maajabu makubwa ya serikali ya awamu ya 5!

Tulimsikia wenyewe Mkulu Jana akitueleza kuwa amemtuma Kinana kwenda India kwa matibabu!

Hivi kumbe mtu haendi hospitali kwa kuumwa Bali kwa kutumwa na Bosi wake!?

Hayo maajabu yanapatikana TZ pekee!
Alikuwa anatania watani zake Wazaramo
 
Makosa makubwa mnayofanya ni KULAUMU CHAMA kwa udhaifu wa WANACHAMA. Kama Nyumba ni CHAFU hilo siyo kosa la Nyumba yenyewe bali waishio humo. Sidhani kuhama chama ni suluhu ya kukisafisha....
 
Tena ongezea, nikiwa na hakili timamu na bila kushawishiwa na mtu yyete...
Nimeama ccm
 
Njoeni Tu polepole, paka ifike 2020 wote tunaimba wimbo mmoja
[HASHTAG]#Mwafaaaaaaaaaa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Msinipangie[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG] sishiriwi
[HASHTAG]#Naamua[/HASHTAG] mwenyewe
 
aye akawajibu "Msinililie Mimi, jililieni ninyi na kura zenu, kwa maana hakuna aliyewalazimisha mpange foleni siku ile." Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni, wala wasiweze kumjibu. Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake bandarini.
 
Back
Top Bottom