Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Hata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena
ukome kama ulivyokoma kunyonya tuliwaambia ccm ni zimwi la kunyonya damu za wananchi hamkusikia anagalia tunarudi miaka hamsini nyuma tuanze sasa kuukataa uongozi wa kibabe na kiimra kama huu
 
Hata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
watu waliodisco kama wewe na kupata ujiko wa ukuu lazima hutamuelewa yaani mtu low profile kama wewe ukapandishwa lazima usisimuke yaani wewe bila ccm huna unaloliweza yaani maana nyingine ni kaputi
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena
Mkuu umezisoma za Kirumi ama za ki Aljentina ?
 
Muziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatenda
tatizo ni kwamba hajaweza tekeleza hata romani moja ya ilani jamaa amepotea ile mbaya anaategemea GSM ndio wamuokoe kwa kumhonga makonda eti kujenga hospitili misikiti otherwise kodi zetu anazifuja tuu hajui aanzie wapi
 
Hivi kuna hata anaekujua?

Kingunge, Sumaye, Lowassa wote hawa wamejitoa ccm. Sasa ni nani mpaka uwe hasara kutoka kwako?
 
nimemsikiliza komredi sendeka kwenye taharifa ya habari itv usiku huu alivyokuwa anasema!

Nikasema Mungu Awape hekima hawa viongozi wetu maana hekima ni njema sana ikiwa ndani ya mtu hasa viongozi wetu kuliko kutumia miguvu.
Alisemaje?
 
Hata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
Kwani ugomvi?si mumuache na uamuzi wake.Uhuru was kujielezea huko wapiiii?
 
Back
Top Bottom