Ulipojiunga CCM mbona hukututangazia?Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;
i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa
ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).
iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini
iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na
v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Siamini mpaka niwasikie na akina jingala na LizaboNina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;
i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa
ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).
iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini
iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na
v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Hiyo ndiyo next move2020 sijui itakuaje maana nadhan ya DRC yakuzima mitandao yanaweza kufanyika
Ujinga mzigo, hivi wanaopelekeshwa wanaangaliwa kadi zao za uanachama ? Au itikadi zao?Muziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatenda
You are next to surrenderKatoka Lowassa, Kingunge, Sumaye, Mahanga, Lembeli na yule demu wake Halima Mdee CCM ikadunda, itakuwa wewe mwenzangu na mie?
Unanchekesha.
Nyie ccm ni watu wa namna gani ?mbona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??
Siku "surrender" wakati wa dhiki nta "surrender" leo? Fikiri.You are next to surrender
Ntasa??Siku "surrender" wakati wa dhiki ntasa "surrender" leo? Fikiri.
lazima uwe na mashaka kwasababu watu ambao wamekomaa kisiasa huwa hawatapi tapi hovyo!!!!Mimi mwenyewe na mashaka, nashangaa kwa huyu jamaa kujielewa na kujitoa maana ni nadra sana kutokea
kwani kila kicheko ni cha furaha mkuu??Humjui Kansigo wewe. Fuatilia thread zake za nyuma ndio utajua hii hali ni serious mkuu.
Nionavyo mimi, hakuna haja ya uchaguzi wa Urais 2020
I am sorry, siwezi kuendelea kuwa sehemu ya tabaka kandamizi! si katika mafunzo ya dini yanguKatoka Lowassa, Kingunge, Sumaye, Mahanga, Lembeli na yule demu wake Halima Mdee CCM ikadunda, itakuwa wewe mwenzangu na mie?
Unanchekesha.
Ntasa??
Sasa hivi umeula?
...Time will tell, there is no reverse gear...
I am sorry, siwezi kuendelea kuwa sehemu ya tabaka kandamizi! si katika mafunzo ya dini yangu
nawe msalimie sana huyo Mungu wenu, anayetaka kusujudiwa na kila mtanzania! wengine si wa kuburuzwa buruzwaTusalimie huko uendako.
Mliozowea vya kunyonga mtapukutika mmoja mmoja.
Hatukumshangaa Kingunge tutakushangaa wewe?
Huwashi huzimi.
Nimeamua kuacha kuishabikia TANZANIA kwenye kitu chochote kile hata mpira.