Thanx vuvuzela ni nice feelings kujua kuna mtu anakukubaliHilo tatizo mkuu huko peke yako tuko wengi, mimi mmoja wapo. Sifichi na naweka wazi Shantel na Mwanajamiione wananisuza sana roho yangu kutokana na wanachokichangia hapa jamvini....yaani it's straight from their hearts. I wish ningekuwa na mwenza kama either of them. Nawasilisha
Kumbe na mie nna kamvuto eh! Aksante Vuvuzela MUNGU atakujaalia umpate mwenza mwenye mazuri yangu, mabaya mniachie mwenyewe! Barikiwa!
Thanx vuvuzela ni nice feelings kujua kuna mtu anakukubali
sio hivyo... I jus wish ..I could talk to her... but how??
Kuna mtu namzimia hapa jamvini kutokana na michango yake lakini nitakufa kiume na tai shingoni......siri yangu sisemi!!
Mkuu usitoke nduki, jikaze na toa kilicho ndani ya moyo wako kama una kifua. Acha kuingia mitini banaaaaDuhhhh! Hapa watu wanataka kujilipua! Kwa herini...!!!
Na mie Naweka wazi.. ni AFRODENZI.... na ROSE 1980... I lurv them... natamani nikutane nao.. Naomba wani PM.. Let them give a gud response P'se... Natamani niongee nao ktk simu...
braza mdogomdogo braza....
afrodenzi ni shemej....
na rozi ni mai shem pia.....!
kuna mambo huku mhh!!! ila kaza buti data utafinikiwa tu mwenye dhiki hajivungi hata akijivunga keshapata!!! Afrodenzi mfikirie mwenzio nilikuwa napita tu narudi jukwaa langu la frustration na stress (siasa).
He! hivi Lizzy kwani ni mwanadada?This has to be Lizzy.
<br />Na mie Naweka wazi.. ni <font color="#FF0000"><b>AFRODENZI.... na ROSE 1980.</b></font>.. I lurv them... natamani nikutane nao.. Naomba wani PM.. Let them give a gud response P'se... Natamani niongee nao ktk simu...