Nimefall kwa bibie humu JF...

Hilo tatizo mkuu huko peke yako tuko wengi, mimi mmoja wapo. Sifichi na naweka wazi Shantel na Mwanajamiione wananisuza sana roho yangu kutokana na wanachokichangia hapa jamvini....yaani it's straight from their hearts. I wish ningekuwa na mwenza kama either of them. Nawasilisha
Thanx vuvuzela ni nice feelings kujua kuna mtu anakukubali
 
Kumbe na mie nna kamvuto eh! Aksante Vuvuzela MUNGU atakujaalia umpate mwenza mwenye mazuri yangu, mabaya mniachie mwenyewe! Barikiwa!

Hiyo pass imekuja kwako...mbona badala ya kufunga bao unataka kupaisha huo mpira au kuna mtu yuko usawa wa goli zaidi yako? Ni nani huyo??
 
Na mie Naweka wazi.. ni AFRODENZI.... na ROSE 1980... I lurv them... natamani nikutane nao.. Naomba wani PM.. Let them give a gud response P'se... Natamani niongee nao ktk simu...

duhhhh
Data asante..
mmmhh
sina la kusema kwa sasa...
Nipe muda ni meze hili tonge kwanza....
 
kuna mambo huku mhh!!! ila kaza buti data utafinikiwa tu mwenye dhiki hajivungi hata akijivunga keshapata!!! Afrodenzi mfikirie mwenzio nilikuwa napita tu narudi jukwaa langu la frustration na stress (siasa).
 
kuna mambo huku mhh!!! ila kaza buti data utafinikiwa tu mwenye dhiki hajivungi hata akijivunga keshapata!!! Afrodenzi mfikirie mwenzio nilikuwa napita tu narudi jukwaa langu la frustration na stress (siasa).

mweee
Jamani
Embu acha kuniongezea Pressure..
 
Hivi huku ni kutafuta mke au kupunguza stress kutokana na yaliyokukuta? Hongereni kwa kujipalestine wakuu.
 
Na mie Naweka wazi.. ni <font color="#FF0000"><b>AFRODENZI.... na ROSE 1980.</b></font>.. I lurv them... natamani nikutane nao.. Naomba wani PM.. Let them give a gud response P'se... Natamani niongee nao ktk simu...
<br />
<br />

Mbona umeanza kana kwamba ni mmoja halafu unakuja kuwataja wawili? Be serious man, maana hapo sijui watakueleweje!!!???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom