Nimechoka watoto wangu kusomeshwa 'eat more, the slogan say' kila siku!

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
Mimi nimesomeshwa hilo, yaani kila teacher wa lugha niliyokutana nao ktk kipengele cha poems basi hapo ndo Kimbilio. Mengine ni:

A freedom song

Development n.k

Miaka zaidi ya 15 baadae, watoto wangu nao habari ndo hiyo hiyo; eat more, the slogan say!

Hv watunzi wameishaaa au? Wataalamu wa elimu nisaidieni!
 
Mfumo wetu wa elimu huo
Kitabu kasoma baba mpaka mjukuu mifano ileile 😄😄😄😄
Wenzetu wa cambrige uko kila baada ya miaka 2 au 3 mambo yanabadilika kwenye syllabus
 
Mfumo wetu wa elimu huo
Kitabu kasoma baba mpaka mjukuu mifano ileile 😄😄😄😄
Wenzetu wa cambrige uko kila baada ya miaka 2 au 3 mambo yanabadilika kwenye syllabus
Hivi sisi haya mambo ya crypto currency sijui block chain yataingizwa lini kwny syllabus huko mavyuoni?labda baada ya miaka 20.
 
Back
Top Bottom