Nimechoka kuwa alone

Nimechoka kuwa alone

@lywaga asante kwa ushauri;
Hata mimi namwamini Mungu
kwa hilo sina wasiwasi.

Bila shaka nitarudi au tutarudi kushukuru.
 
Vidume vya humu vinajifanya ni chini ya 18, Serengeti boys....
kila anaekuja "kila laheri utampata"
atampata wapi wakati ni nyie nyie ndo mnatafutwaaaa
kuweni serious mbuzi kafia kwa muuza supu acheni kuremba!!!!
Wewe Evelyn Salt tayari, i want to take my real man to make you satisfied.
 
avatar65641_7.gif

Evelyn Salt;
Hongera kwa hii avatar nzuri sana
is that my mjukuu?

U want to take ua real man?
kiingereza kigumu au mi ndo mgumu kuelewa?
 
Last edited by a moderator:
U want to take ua real man?
kiingereza kigumu au mi ndo mgumu kuelewa?
Ni sawa, there is a man in me, a real man. So i want to take him with me in order to satisfy you, Uliho ng'wanike??
Nimetafsi saini yako hata hivyo, halafu hilo pozi la kwenye avatar yako linanipa meditation. Niimya gete.
 
Oooh hanaho sawa lolo....
mi nipo mmmh ndo nshabadili hivo
 
Vidume vya humu vinajifanya ni chini ya 18, Serengeti boys....
kila anaekuja "kila laheri utampata"
atampata wapi wakati ni nyie nyie ndo mnatafutwaaaa
kuweni serious mbuzi kafia kwa muuza supu acheni kuremba!!!!

sasa kama mie miaka yake nusu yangu unafikiri atanielewa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom