Nimechoka kuwa alone

Nimechoka kuwa alone

hongera sana royna kwa kumpata excel mwenye sifa njema namna hiyo! mpende basi kwa moyo wako wote! maana umesema ni mwema sana kwako!

Kaka Excel, najitahidi sana na Mungu anisaidie. Sema majaribu nayo mengi. hawa nyumba ndogo hawapendi kuona wenzao tumetulia, kutwa kucha wanatafuta waume waliotulia kwenye nyumba zao, eti wanasema tunabanana hapa hapa. Nimegundua siri kubwa ni kumuombea huyu mahahuba wangu!
 
hata mimi nimechoka kulala peke yangu nakuogopa usiku wa manane.nimechoka kuishi alone kama mwanga.sitaki tena kwa kweli

Weka tangazo na wewe, halafu rudisha ile avatar yako ya jeans la bluu
 
Kaka Excel, najitahidi sana na Mungu anisaidie. Sema majaribu nayo mengi. hawa nyumba ndogo hawapendi kuona wenzao tumetulia, kutwa kucha wanatafuta waume waliotulia kwenye nyumba zao, eti wanasema tunabanana hapa hapa. Nimegundua siri kubwa ni kumuombea huyu mahahuba wangu!

jitahidi kufanya hivyo wangu.. unajua wanaume hatujakamilika sana na ni rahisi sana kushawishiwa na ninyi wanawake..

sometimes uwe unafanya general inspection bana!! au unaogopa kushika thimu??
 
jitahidi kufanya hivyo wangu.. unajua wanaume hatujakamilika sana na ni rahisi sana kushawishiwa na ninyi wanawake..

sometimes uwe unafanya general inspection bana!! au unaogopa kushika thimu??

kwakweli!gharama ya kugundua anacheat sitaweza kuilipa. Ngoja tu niamini kuwa hacheat, nakuwa na amani zaidi!
 
Nimependa ujasiri huu. Siyo wengine wanakuja na ID mpya kwa kuogopa ID zilizozoeleka. Ndoa ni kitu kitakatifu, nakuombea upate dada awe mkweli kwa yote atayosema..
 
Ukimya wake pengine keshampata... na kuanzia hapo anafungua ID Mpya.. Safi sana.... Smile sikufahamu kuwa yupo single miaka yote ile tokea namuona humu JF ningeshamtokea mwaka Juzi walai lol...
 
Last edited by a moderator:
Utani wekeni kando

Huu ni mwaka wa kumi na tatu;

Nalala alone , nimechoka;

Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.

Umri miaka 49 na kuendelea.
Isije kuwa wanaume wanahofia kwa Jina lako limefanana na Mama Madeni..... Home kutwa nzima wanakuja watu kudai madeni yao uliyowakopa...
 
Angalizo la Mamdeny Mume apatikane kabla ya tarehe 14 mwezi wa pili Valentine's Day
 
Mkuu Himidini habari yako, unadhani kwa nini yenye Mamndenyi atampata huyo mwenza wake upesi mkuu. Any way all the best to her, maana imeandikwa "Apataye mke apata apata kitu chema naye apata kibali kwa Bwana" naamini vice versa is also true kwa yule apataye mume.

Aidha pia imeandikwa ni heri kuwa wawili kuliko mmoja.....................

^^
Lyagwa mie mzima, imani yangu ilikuwa kwamba, mtu huvuta watu wa aina yake, mtu aliyemfuatilia Mamndenyi kwa muda mrefu basi atakuwa amepata wepesi wa kuungana nae.
^^
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom