Nimechoka kuwa alone

Nimechoka kuwa alone

Topic closed
Ngoja kwanza nimeboresha vigezo
 
Hapo nimeshindwa vigezo sina, Miaka 44, na ndoa nimesahau lakini nipo kwenye kibano?
 
Mamndenyi,

Kama bado hujapata basi uliyemtaka ndio ametua hapa. Vigezo vyote ninavyo na kuvizidi kabisa.

Nina miaka 63, pia nina gari 4. Ukinikubali na uzee wangu huu gari moja nakuzawadia siku ya harusi yetu. Kazi kwako.
 
Last edited by a moderator:
Kama uko serious nipe namba yako ya simu
kule PM.

Mamndenyi,

Kama bado hujapata basi uliyemtaka ndio ametua hapa. Vigezo vyote ninavyo na kuvizidi kabisa.

Nina miaka 63, pia nina gari 4. Ukinikubali na uzee wangu huu gari moja nakuzawadia siku ya harusi yetu. Kazi kwako.
 
Kaka Excel, najitahidi sana na Mungu anisaidie. Sema majaribu nayo mengi. hawa nyumba ndogo hawapendi kuona wenzao tumetulia, kutwa kucha wanatafuta waume waliotulia kwenye nyumba zao, eti wanasema tunabanana hapa hapa. Nimegundua siri kubwa ni kumuombea huyu mahahuba wangu!

Hongera kw kugundua hyo siri bandika mikono kabisa kwa damu ya Yesu utafankiwa wewe na mumeo . Wako wengine wanafikir kwa akili zao wanafirk mashindano yak katik mwil kumbe kaz ipo katik ulimwenu wa roho tena vita kubwa. Watu hawajui shetani ypo kazin anawatak hasa watakatifu wa Mungu hao ndo ana shida nao si wale waliozoea dhambi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom