Nimechoka kuwa alone

Nimechoka kuwa alone

Smile hiyo avatar yako mmmmh.
nilikuambia nikupe mdingi wangu ukakataa!
ila utapata mama yangu.ila itabidi nimkague kwanza asije kukutesa bure.sitakubali .i love u with all my heart!
 
Naamini umri niliyouweka ndo utakuwa walau sambamba na
umri wangu.
mnyikungu? how old are u?
around 40something.......but i think am out of your specification...may god be with you in this moment so that to help you on finding the good one who will satisfy your soul
 
mnyikungu .......... AMEN..........
around 40something.......but i think am out of your specification...may god be with you in this moment so that to help you on finding the good one who will satisfy your soul
 
Mimi natimiza masharti yote. Sharti langu moja tu, upo tayari kutoka ccm na kuhamia cdm?
Kama upo tayari ni pm!!??
Utani wekeni kando

Huu ni mwaka wa kumi na tatu;

Nalala alone , nimechoka;

Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.

Umri miaka 49 na kuendelea.
 
Na wakikukosa kwenye ncha kali;
ujue pia kuna sindano ya maji;

Weewee!!, nani anipige na kitu chenye ncha kali mimi!!????, wamenishindwa watu, mimi aniweze nani labda wayatume mashetani.
Na kwa taarifa yenu, I have started to get ideas about Avelyn Salt, ​ nione mtu analeta za kuleta..
 
Jamani sasa mtulie ameniteua mimi... japo kiumri mimi ni mdogo... nilimuuliza shida yako ni nini? akang'ata kucha nikamuambia umri si dili... nanihiho ndio mwake mwake.... na night company... weekdays only
 
Miaka 13??? Haijaziba?

Kila la kheri mwaego. Ukimkosa usijali, babu niko tayari kukufanya nyumba ndogo. Na hii miaka yangu sitini na ushee, najihisi bado nina nguvu.

Haya weka picha yako tafazali.
Mamndeny umeona enh!!!!!!!!!!!!
wezi ndo kama hawaaaaaa, wanadhan utastaafu ili wajiliepo mafao yako kimbia kaa umekosa kugongwa na treni.

mie nakutaklia kila la heri utampata tu..............uniite mwaya nije kula mahari manake kichaga hata ukiolewa mzee lazima mahari ilipwe na watu tule na kunywa. na harusi ipite baharini
 
Last edited by a moderator:
Mmmh nakwambia Asprin amepinda kama ishami

Nitakuita tu wa kwetu wala usijali

Mamndeny umeona enh!!!!!!!!!!!!
wezi ndo kama hawaaaaaa, wanadhan utastaafu ili wajiliepo mafao yako kimbia kaa umekosa kugongwa na treni.

mie nakutaklia kila la heri utampata tu..............uniite mwaya nije kula mahari manake kichaga hata ukiolewa mzee lazima mahari ilipwe na watu tule na kunywa. na harusi ipite baharini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom