Nimechoka kuwa alone

Nimechoka kuwa alone

Utani wekeni kando

Huu ni mwaka wa kumi na tatu;

Nalala alone , nimechoka;

Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.

Umri miaka 49 na kuendelea.

Mungu atasikia maombi yako dada.
Ila swali la udaku: Kwa nini umeachia hadi miaka 13 kupita?
 
Pole, maana miaka 13 bado michache. Mi nina zaidi ya miaka 13 na bado niko lonely. ni PM
 
Utani wekeni kando

Huu ni mwaka wa kumi na tatu;

Nalala alone , nimechoka;

Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.

Umri miaka 49 na kuendelea.

Waswahili tuna msemo "ukitaka kula nguruwe usiseme naonja, tafuta aliyenona". Nikimaanisha hapo kwenye "49 na kuendelea".
 
Vidume vya humu vinajifanya ni chini ya 18, Serengeti boys....
kila anaekuja "kila laheri utampata"
atampata wapi wakati ni nyie nyie ndo mnatafutwaaaa
kuweni serious mbuzi kafia kwa muuza supu acheni kuremba!!!!
 
WAKABAMBEE
nafasi bado ipo wazi

Usisahau kutupa mrejesho (feedback) whether positive or negative, maana wengine kazi yetu ni kuomba na kuomba ili mwisho wa siku usiwe mmoja kama ulivyo sasa, na ukifanikiwa hakika itampendeza sana Mungu kama kweli una wito huo hasa kutoka kwake.
 
Ok;
Bila shaka nitarudi kusema
Usiwe na wasiwasi;
Jitahidi kuomba bila kukoma ili niyaone matendo makuu ya Mungu wa Elyer
Usisahau kutupa mrejesho (feedback) whether positive or negative, maana wengine kazi yetu ni kuomba na kuomba ili mwisho wa siku usiwe mmoja kama ulivyo sasa, na ukifanikiwa hakika itampendeza sana Mungu kama kweli una wito huo hasa kutoka kwake.
 
Last edited by a moderator:
Ok;
Bila shaka nitarudi kusema
Usiwe na wasiwasi;
Jitahidi kuomba bila kukoma ili niyaone matendo makuu ya Mungu wa Elyer

Ili maombi yoyote yafanye kazi ama kupokelewa na kufanyiwa kazi ni lazima anayeombewa naye awe na imani japo kidigo kama punje ya haradari, vinginevyo itakuwa ngumu kama sio almost impossible. So play your part first.

Nimekumbuka swala la feedback kwa sababu watu wengi wamekuwa wakija hapa jukwaani na mada zenye changamoto kibao, na hakika wadau wamekuwa wepesi wa kujitoa kwa kadri ya uwezo wao kuzitolea majawabu, lakini ni wachache sana waliweza kurudisha feedback. Hapa simanishi kwamba ni lazima kila mmoja kufanya hivyo la hasha lakini hakika inapendeza sana, na sio wala wadau hawataacha kuumiza vichwa kwa ajili ya changamoto mbalimbali zinazotukumba katika maisha yetu ya kila siku, maana leo ni kwangu na kesho ni kwako n.k.

Labda nimalize kwa kukupa mfano hai, kuna mmoja alileta thread yake hapa jukwaana mwisho mwa mwaka jana, ambapo alikuwa anatafuta means ya kukwepa kuingia kwenye anga za boss wake CEO, aliyekuwa amepanga safari nje ya nchi na huyu Mrs wa mtu na pia alikwisha rusha karata zake juu yake japo zikawa hazikunasa. Watu walijimwaga sana na maushauri kibao hadi mimi niliona kila dalili za ushindi kwa yule dada kama alifuatilia yale mashauri ya watu, mimi nilikuwa msomaji tu, lakini hajarudisha feedback tena, hadi jana nimeona watu wanaaza kuuliza kwa kuuleta ule uzi jukwaani.

Nakutakia kila la heri katika safari hii njema na Mungu awe upande wako.
 
Kuna umri ambao mtu anakuwa ameshajitambua zaidi
Akajua kuwa what are the serious-ness things

Pia majukumu ni mengi sana na ndo maana
nimeamua kuwa na mtu ili tusaidiane.

Mamdenyi una miaka mingapi? Na kwanini umezama kwenye umri zaidi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom