Mbona PM hujibu?
Pole, maana miaka 13 bado michache. Mi nina zaidi ya miaka 13 na bado niko lonely. ni PM
Yaani wewe sijui kwa nini nakuogopaga??
Na hii comment yako imenifanya nicheke sana.
;...Nlijua wewe mke wa mtu bana...mamndenyi unaniangushaUtani wekeni kando
Huu ni mwaka wa kumi na tatu;
Nalala alone , nimechoka
Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.
Umri miaka 49 na kuendelea.
........................ Mume wa mtu HAPANA
Utani wekeni kando
Huu ni mwaka wa kumi na tatu;
Nalala alone , nimechoka;
Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.
Umri miaka 49 na kuendelea.
........................ Mume wa mtu HAPANA
Hivi kweli wanaume mkoje lakini.
Kwa hiyo unatafuta mlinzi..??? No wonder ndoa za siku hizi zinavunjika kirahisi sana. Madhumuni ya kuoa/kuolewa yamekuwa tofauti na ndoa inavyotakahata mimi nimechoka kulala peke yangu nakuogopa usiku wa manane.nimechoka kuishi alone kama mwanga.sitaki tena kwa kweli
kwani tumefanya nini Mamndenyi..???Hivi kweli wanaume mkoje lakini.
Yaani wewe sijui kwa nini nakuogopaga??
Na hii comment yako imenifanya nicheke sana.