Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
yap nishaamua hivo silali tena peke yangu bana maisha ni haya haya
Long time I have been waiting for this statement from Smile. Naanza kumuwinda rasmi, coz now keshaamua kutolala pekeake
yap nishaamua hivo silali tena peke yangu bana maisha ni haya haya
^^
Kwa wewe utampata upesi.. Kila la kheri
^^
Utani wekeni kando
Huu ni mwaka wa kumi na tatu;
Nalala alone , nimechoka;
Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.
Umri miaka 49 na kuendelea.
hii ID kumbe bado inafanya kazi!!!Kumbeee...all the best for you all who are seeking...seek and you shall find!
Nimepungukiwa minne tu katika hiyo......lakini 'kazi' naiweza sana! Nitapata?:bump2:Umri miaka 49 na kuendelea.
Utani wekeni kando
Huu ni mwaka wa kumi na tatu;
Nalala alone , nimechoka;
Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.
Umri miaka 49 na kuendelea.
Ningejitokeza, ila kuna jamaa anaitwa jumong aliweka thread ya maskrepa naogopa, usije ukawamo
hii ID kumbe bado inafanya kazi!!!
royna, ww una mingapi dadaangu?
Excel, sorry, kama nitakuwa nimeenda mbele zaidi ya swali. Mimi nina mume tayari, na mume mwema kwa kweli, so usijali hayo mengine yangu.je?
Una watoto au laa??