Alete mrejeshooooo plziiiiiIngia hapa tiba ya kitunguu saumu
Eeee angalia asije kukutia mimba ukamzaa jini baadae akakuletea majanga olewa ndio dawa mkuunaota na saga mkuu halaf nikimaliza napewa zawadi.....napikiwa msosi mzuriii nakula nikimaliza narud duniani
Pitia hapa:nipo arusha
hapana mkuu sipo hivyo wallahWewe Lesbian sema unaogopa
Asante mkuu ntakutext watsapNi vyema ukamuomba Mungu maana kila ndoto inatafsiri yake. Na inabidi ubadilishe life style unayoishi kama ni ya starehe au kutumuomba Mungu. Ndoto ni milango ya kiroho hivyo inabidi ujifunze namna ya kushinda hizo nguvu za giza maana kila mtu hujaribiwa kwa kadri ya tamaa yake mwenyewe so tumia damu ya Yesu ikukomboe katika nguvu za giza. Pata nafasi nenda facebook page ya christopher & diana mwakasege kuna somo la ndoto na nini cha kufanya. Liko 1-8 n seriesvpost ambazo anapost sasa kaelezea vizuri kabisa nini cha kufanya. Pia kabla hujalala weka mikono yako kitanda umuombe Mungu akulinde ktk ndoto. Zaid 0655925993 whatsapp
Tayarimshana jr njoo huku
Mshana unajua akili zako zinakutosha mwenyeweeeeKipande chini ya mto kipande jipake chini ya kitovu

Mshana unajua akili zako zinakutosha mwenyeweeee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
zikiwatosha na wengine basi ujue mimi mzimuNimecheka kwa nguvu sana duuuh![]()
![]()
zikiwatosha na wengine basi ujue mimi mzimu

*Baqala= Baqarah.kama ni muislam, uwe ukitaka kulala unafungulia quran surat baqala sauti ya chini na kujirudia rudia usiku mzima hakika hutapa hayo.
Well Said, Bravooooo.Ukiota unasex na mtu humfahamu mambo kadhaa yanahusika hapo
Mosi, pengine unawazia kukutana/kufahamiana na mtu mpya katika mazigira mapya lakini unashindwa kufanikisha hili sasa ubongo wako unajaribu kufanikisha hili tukio katika namna ya ndoto.
Pia inawezekana wewe unapenda/unatamani kitu fulani katika maisha yako lakini kwasababu upo protective sana na maisha yako unashindwa kufanikisha. Hapo mwili wako unajaribu kufanikisha hili kwa njia ya ndoto
Kumbuka
Kila kitu au watu (characters)unaowaona kwenye ndoto yako ni namna ubongo wako unajaribu kukujulisha part of your own personality.
hivi jini mahaba ndio marohani auDuh! We una jini mahaba tena wa kike, vp umeolewa?
ustadhaat umetoa mubashara !!!Kama ni muislam..hakikisha unafanya haya kabla ya kulala
1. Weka udhu kama unaenda kusali
2. Soma suratul nnas,falaq na ikhlas mara Tatu Tatu
3.Soma ayatul qursiy
Utalala usingizi nyororo,sio jini wala sheitwan litakalokugusa usiku.
Kama mkristo,,,ngja tusubiri watumishi Wa bwana watakuelekeza!
Ni psychological problem, unaweza kujicondition usiote. Hauhitaji kupanicHabarini ndugu zangu natumaini ni wazima,
Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.
Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halafu naota nafanya na wanawake wenzangu.