Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu