Nimechoka kufanyishwa mapenzi

Nimechoka kufanyishwa mapenzi

Kama ni muislam..hakikisha unafanya haya kabla ya kulala
1. Weka udhu kama unaenda kusali
2. Soma suratul nnas,falaq na ikhlas mara Tatu Tatu
3.Soma ayatul qursiy

Utalala usingizi nyororo,sio jini wala sheitwan litakalokugusa usiku.

Kama mkristo,,,ngja tusubiri watumishi Wa bwana watakuelekeza!
Nimependa uchangiaji wako
 
Habarini ndugu zangu natumaini ni wazima,

Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.

Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halafu naota nafanya na wanawake wenzangu.
Mpokee yesu
 
Yaani hujapata mimba tu muda wote huo una bahati sana wewe mfanyishwaji mapenzi
 
Habarini ndugu zangu natumaini ni wazima,

Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.

Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halafu naota nafanya na wanawake wenzangu.
Unamaana unaota mnasagana? Unasaga au unasagwa? Ni pepo hilo unahitaji kulikemea
 
naota na saga mkuu halaf nikimaliza napewa zawadi.....napikiwa msosi mzuriii nakula nikimaliza narud duniani
Epuka kulala chali mara nyingi husababisha kuota ndoto za ajabuajabu. Yawezekana ni pepo, unahitaji kuomba/ kuombewa
 
Polee sanaa, m ninachokushaur wahi kwenye maombi mapema sanaaa, jins siku znavyozd bas nao ndo wanazd kukuweka kweny himaya yao, baadae itakua shida sana, asaiv unateseka kisaikolojia ila baadae itakua kimwili, kiroho Na kiafya. Pia hongera kwa ku handle Jockin za JF, mwingne angeshawaka.
 
Ni vyema ukamuomba Mungu maana kila ndoto inatafsiri yake. Na inabidi ubadilishe life style unayoishi kama ni ya starehe au kutumuomba Mungu. Ndoto ni milango ya kiroho hivyo inabidi ujifunze namna ya kushinda hizo nguvu za giza maana kila mtu hujaribiwa kwa kadri ya tamaa yake mwenyewe so tumia damu ya Yesu ikukomboe katika nguvu za giza. Pata nafasi nenda facebook page ya christopher & diana mwakasege kuna somo la ndoto na nini cha kufanya. Liko 1-8 n seriesvpost ambazo anapost sasa kaelezea vizuri kabisa nini cha kufanya. Pia kabla hujalala weka mikono yako kitanda umuombe Mungu akulinde ktk ndoto. Zaid 0655925993 whatsapp
 
Back
Top Bottom