Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hiyo ni raha au anatesekabaada ya kumshauri mwenzio ashukuru anapata raha... we unataka kumkatisha utamu..!!!!
hiyo ni raha au anatesekabaada ya kumshauri mwenzio ashukuru anapata raha... we unataka kumkatisha utamu..!!!!
Habarini ndugu zangu natumaini ni wazima,
Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.
Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halafu naota nafanya na wanawake wenzangu.
sipendi nafanyishwakama unaenjoy unachoshwaje sasa?
Umeolewahapana sina hata hayo mawazo....Hua inanitokea sana mara nyingine wanaume mara nyingine wanawake
kwa hiyo nisiweke wasiwasiUkiota unasex na mtu humfahamu mambo kadhaa yanahusika hapo
Mosi, pengine unawazia kukutana/kufahamiana na mtu mpya katika mazigira mapya lakini unashindwa kufanikisha hili sasa ubongo wako unajaribu kufanikisha hili tukio katika namna ya ndoto.
Pia inawezekana wewe unapenda/unatamani kitu fulani katika maisha yako lakini kwasababu upo protective sana na maisha yako unashindwa kufanikisha. Hapo mwili wako unajaribu kufanikisha hili kwa njia ya ndoto
Kumbuka
Kila kitu au watu (characters)unaowaona kwenye ndoto yako ni namna ubongo wako unajaribu kukujulisha part of your own personality.
badoUmeolewa
Kwa muda gani au Mara moja tu?Jini mahaba ndio kazi zake hizo. Cha kufanya ni uwe unaomba sana.
Chukua chumvi... iombee.. itamkie maneno... weka kwenye maji ya kuoga then oga nayo. Utaona kuna kitu kinabadilika
kwa hiyo nisiweke wasiwasi
sipo darUpo mkoa gani? Kama Upo Dar ni PM nikuunganishe na mtaalam akusaidie.
Asante mkuuBalance is key in life
Yes, achana na wasiwasi
Usiogope kujaribu mambo mapya
Toka nenda kakutane na watu wapya
Fanya jambo unalofurahia na kulipenda hata kama huamini sana unaujuzi nalo
Achana na mafundisho yoyote yanayokufanya upate wasiwasi
Ishi kwa uhuru zaidi yataisha
ahaaaa nenda kule hoja mchanganyiko kuna mtu anakuita eti kakosa usingizi umtumie zile picha za ajabu![]()
![]()
![]()
hutaamini ukiniona