Nimechoka kufanyishwa mapenzi

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,441
Habarini ndugu zangu natumaini ni wazima,

Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.

Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halafu naota nafanya na wanawake wenzangu.
 
Pole sana
pitia kule jamii intelligence utakutana nyuzi za meditation inaweza kukusaidia
 
Kama ni muislam..hakikisha unafanya haya kabla ya kulala
1. Weka udhu kama unaenda kusali
2. Soma suratul nnas,falaq na ikhlas mara Tatu Tatu
3.Soma ayatul qursiy

Utalala usingizi nyororo,sio jini wala sheitwan litakalokugusa usiku.

Kama mkristo,,,ngja tusubiri watumishi Wa bwana watakuelekeza!
 
Habarini ndugu zangu natumaini ni wazima.....Nina muda mrefu tangu nianze kuota nafanya mapenzi usiku mpaka naandika uzi huu ni kutokana na jinsi jana nilipoota nafanya mapenzi na mwanamama aliekua amevalia nguo nyeusi kwa kweli nilienjoy kabisa kama nafanya mapenzi live.

Ndugu zangu nifanyeje niache kuota hivi ukizingatia mimi ni mwanamke halaf naota nafanya na wanawake wenzangu.
Ingia hapa tiba ya kitunguu saumu
 
Nicheck pm Kama unamuamini Mungu
 
Back
Top Bottom